PreGE2025 Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizwa.
Upewe maua yako
 
Kafanya anachostahili kufanya bila kujali n wangapi watamuunga mkono.
 
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizwa.
Njaa yako haitamalizwa na huo uchawa wako. Mwishoni utakuja gongwa kwa kuendekeza njaa mbwa wewe
 
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizke
Kenge hawawezi kumshangilia
 
Your browser is not able to display this video.
 
Asiruhusiwe kuingia kwenye mkutano, walinzi wamfukuze
Ataingia na atawashawishi wajumbe na kupata uungwaji mkono Kisha Kila mmoja ataondoka na ubao wa boti yao iliyo Katikat ya bahari.

Wakiwa wanazama, Yeye atatembea juu ya maji na kurudi nchi kavu!

Na ndio utakuwa mwisho wa utekaji na mwanzo wa Ile safari ya matumaini
 
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizwa.
Anashangiliwa kawa bibi harusi? 95% wamemuelewa aana tu tena kwa fact. Tatizo lipo kwa 5% ambao hamjibu hoja mnashambulia mtu
 
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizwa.
Kwani Yesu alipoleta wokovu alishangiliwa?
 
ccm ndio hatujamshangilia, ila wananchi wasio na vyama, wapenda Haki na wale walio vyama vya kupenda demokrasia wamependa na wanaamini huu ni mwanzo mzuri kuelekea October 2025
 
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizwa.
Mimi nimemshangilia. Watanzania wenye akili wamemshangilia
 
Miongoni mwa watu ambao hawajamshangilia ni pamoja na wewe lkn mimi nimemshangilia kwa hiyo ngoma droo, kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake
 
Kwani Gwajima alikuambia kwamba anataka kushangiliwa na kila mtu? Alichofanya ni kuwaambia watu ukweli kwa njia ambayo inafaa zaidi na kinachotokea sasa hivi alijua kitatokea kwa sababu ccm na serikali yake haina watu wa kujibu hoja, kwa kifupi tuu Gwajima amefanikiwa sana lengo lake kuu
 
Hawezi Shangiliwa na wabunge na wana ccm, kwani alikuambia anategemea wamshangilie sheikh?
 
Siku akifukuzwa uende kumpa pole. Nyie wapumbavu anawasikiliza na kuwazingatia ni mwehu tu, chadomo imebaki muda mchache kujifuta, wapumbavu km ww mnakipotosha humu JF.
Hawezi kufeli maisha. Alishakuwepo kitaa kabla ya hapa. Wizi wenu ndiyo ulimpeleka hapo. Sasa mkimuondoa pia itakuwa ni sahihi. Ibeni tena kwa mwingine.

Mjinga kama wewe unaeamini maisha yapo kwa kuwa chawa ni hasara kwa jamii yako.
 
Alidhani kwamba ataweza kuwalaghai Watanzania wote.
Lakini watu wapo makini.
Lakini katika mkutano wa Chama kesho asiruhusiwe tena kuongea maneno yake ya uongo.
Awepo kama observer tu.
Yeye ameshaongea,amesikilizwa.
Maneno gani ya uongo
 
Duuh maswali hayo ya msingi ndo yamezua taharuki hii??
 
Mitandaoni ipo sauti ya Gwajiboy, iliyorekodiwa enzi Rais wa Tanzania akiwa Dk. John Magufuli, kabla hajakabidhiwa uenyekiti wa CCM.

Katika sauti hiyo, Gwajiboy anasikika akimpigisha shoti mstaafu JK kwa Mzee JPM: “Nasikia hawataki kukupa uenyekiti wa CCM. Kama hawakupi uenyekiti wala wewe usigombane nao, na wewe ondoa kinga ya urais ili akimaliza madaraka yake ashitakiwe tuone.

“Hapo ndipo tutajua kuwa UDA na mradi wa Mwendokasi ni wa nani, yale makontena yaliyopitishwa bandarini ni ya nani, tutaona NIDA ni ya nani.”

Baadaye, Dk. Magufuli alitoa ufafanuzi kwa kusema kuwa ni yeye ndiye alikuwa anamkatalia Kikwete, alipotaka kumkabidhi uenyekiti wa CCM.

Unapoitazama kauli hiyo kwa jicho la ndani, inatoa taswira kuwa Gwajiboy alikuwa akichochea mgongano wa viongozi kwa maslahi binafsi.

Unafiki wa Gwajima, Magufuli aliujua mapema zaidi.

Laiti angalikuwa hai leo, huenda tayari angeshamtumbua na kumshughulikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…