PreGE2025 Askofu Gwajima: Utekaji si utamaduni wetu na halitakiwi kuchekewa!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mimi nikajua una ushahidi wa sauti?ngoja nikupime akili yako,je unasemaje kuhusu utekaje?
 
Mnatapatapa ninyi na kuungaunga vitu negative kuhusu Gwajima.
Acheni utekaji, mauaji na udhalilishaji.
 
Sasa hivi habari ya mjini ni ya utekaji, ubakaji na uuaji.

Scandal za Gwajima tunazijua mpaka za mkono wa baunsa ila hoja si Gwajima.

Hoja ni Bi Chura Kiziwi ameamua kuwakumbatia watekaji, wabakaji na wauaji. Hata hawakemei, ndiyo kwanza anawaambia waongeze mwendo.

Gwajima kasimamia hoja hiyo ya kupinga utekaji, ubakaji na uuaji na Watanzania wengi wamemuelewa wanasema mapungufu yote ya Gwajima hayatazamwi kwa sababu watu wanaangalia hoja kubwa zaidi ya usalama wa Watanzania.

Msitake kututoa kwenye reli kuhusiana na mada hii kubwa kwa kutaka ku focus kwenye mapungufu ya Gwajima.

Gwajima hajasema yeye ni perfect.

Amesimamia kupinga utekaji, ubakaji na uuaji.
 
Bila shaka na wewe ni kada kama Gwajima, ni suala la muda tu.
 
‘chura kiziwi’ doesn’t get what the fuss is all about.

Gwajima ni speaker tu, hata huko kwenye vyombo vya ulinzi wamechoshwa kukosa majibu ya mauaji ya hovyo.

Ni hivi kuwasanua.

Nyuma ya Gwajima kuna senior civil servants (ambao hata yeye hawajui).

Kuna walinzi wa nchi waneshaelewa katiba, sheria, madaraka ya raisi ni pingamizi la majukumu yao.

Hakuna chombo cha ulinzi timamu kinaweza chukua uhai wa mtu kama ‘Mdude CDM’. Wengine wanaofanya hivyo ni watu ambao wana killing appetite kutokana na funds wanazopewa.

Hizo ni unnecessary killings with no justification zaidi ya hela za kazi wanazoomba.

Gwajima ni shujaa tu wa mambo ambayo watanzania wengi kwa sasa ambao tunadhani it’s enough.

Kuchukua uhai wa mtu kama ‘Mdude CDM’ ni justification tu ya matumizi mabaya ya kulinda uraisi wa Samia (hata kama yeye mwenyewe hajaidhinisha).

Shida sio Gwajima, yeye ni speaker tu; uhalisia ni vyombo vya ulinzi na usalama vimechoka kupakaziwa hizi senseless killings.

Yaani ukachukue maisha ya Mdude CDM kwa faida gani zaidi ya kudharau maisha ya binadamu.

Enough, Gwajima anasemea tu vitu ambavyo vinatukera wengi (MaCCM viazi hamjamuelewa).

Life is precious
 
Kama ni kweli unachosema basi gwajima alikua sahihi kabisa tens sana tu. Angemuondolea kinga tu mpaka Leo magu angekua yupo
 
M dude? Yule hata shetani asingepanda kuwa raia wake
 
M dude? Yule hata shetani asingepanda kuwa raia wake
Life is precious.

Mdude hana influence yeyote ya utawala wa Samia.

Kila mara alikuwa anaanzisha mada JF. Sasa tafuta mada alizoanzisha Mdude JF miaka yote

Mada za zote za Mdude on average, hazivuki views 1000.

Mdude ni mtu ambae ilimradi nae yumo. Lakini sio tishio kwa serikali.

Ugomvi wake zama za Magufuli alikuwa na matusi.

Ukimuelewa mdude (analytically) baada ya misuko-misuko aliyopitia kipindi cha Magufuli lazima kuna mild autism,

Kipindi cha Samia, mdogo wangu Mdude ni ambae alitaka kuonekana ilimradi yupo kwenye msafara tu. Mada zake hata humu views hazifiki elfu moja.

Kwanini huyu mtu serikali idhani ni tishio la kuchukua maisha yake.

Senseless killings zinatosha
 

Sijaona neno baya alilosema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…