Huyu Askofu anaweza kuwa sahihi au anakosea ,lakini mimi naapreaciate watu wa namna hii,he has courage to rise a hand and speak his thoughts pamoja na hatari zozote au madhara anayoweza kupata KWA kushughulikiwa na watawala,he has qualities of a MANNahisi kutakua kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,
kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787
Ndiyo hayowananchi wa kawe nileteeni Gwajima,..... maendeleo mtayaonaaa
Angekuwa chadema angekwisha pewa kesi ya ugaidi. Tanzania haina raha yoyote bali imelaaniwa baada ya kupata dictator muuaji maguliNi uhuru wa maoni
Na ndio raha ya Tanzania
Misukule yake IPO itamlinda, ndicho anachojivunia.Huyu Askofu anaweza kuwa sahihi au anakosea ,lakini mimi naapreaciate watu wa namna hii,he has courage to rise a hand and speak his thoughts pamoja na hatari zozote au madhara anayoweza kupata KWA kushughulikiwa na watawala,he has qualities of a MAN
Huyo taperi ana chuki za kidini na ukabila, na ni muhaini anayepaswa kumalizwa mapema, ni adui wa Nchi huyo, nashangaa serikali kuu inamchekea huyo kimaNahisi kutakua kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,
kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787
Kama kuna maabara pale kanisani kwake iliyofanya uchunguzi wa hizo chanjo, basi kweli kuna kitu vinginevyo ni porojo zile zile za kujifanya anafufua wafu...Asee unawezekana kuna kitu anakiona. Ingekuwa vyema kama angeenda ndani zaidi kueleza madhara kwa binadamu hasa ni yapi na nini kifanyike kama mbadara wa chanjo.
Tusilete uchama kwenye masuala ya muhimu Kama afya.maswali anayohoji niya msingi ,nikuulize Mambo ya kawaida Sana,chanjo maana yake Kinga dhidi ya huo ugonjwa,inamaana hata Kama utagusana na aliyeambukizwa unakuwa safe!,Sasa hii chanjo hata Kama utachanja bado unaweza kupata maambukizi!! swali hii ni Nini Sasa watu wanayolazimishwa kuchanja na mataifa ya nje na baadhi ya wa tz ambao hawa reason Mambo!?.Haya sasa, huyo ndio mbunge mliempata.
Huyu ni wa kupiga mawe hadi afe kabisaNahisi kutakua kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,
kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787
Mkuu nomba majibu ,hapo juu,post 32Huyu ni wa kupiga mawe hadi afe kabisa
Usidanganye! Gwajima ni mtu wa video siyo hizo akaunti feki!Nahisi kutakua kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,
kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787
We nenda kachanjwe! Kama ni mawe Mbowe angekuwa hai leo hii? Si alisema hakuna mchaga aliyeajiliwa kipindi cha JPM.Huyu ni wa kupiga mawe hadi afe kabisa
Utawadanganya ambao wanapenda habari za kusikia,ila tulioingia YouTube na kujionea live hakuna mahali kaisema serikali wala rais!kwanza kamtetea rais kabisa!Nahisi kutakua kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,
kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787
Nakazia hapo uliposema hata huo ubunge hana haja nao .Haya yanachangiwa na laana ya kumuweka Mbowe Mahabusu na pia ni matokeo ya laana ya kuvuruga Uchaguzi Mkuu wa mwaka jana.
Lazima tu MATAGA watavurugana huko mbele.
Gwajima kamatia hapo hapo.
Msilojua ni kuwa, watu kama Gwajima walikuwa loyal kwa mtu(Magu) na si chama wala kiongozi wa chama au serikali na hawa bado wako wengi tu katika hii serikali ya Mama sema Gwajima kaamua kutojificha.
Inawezekana hata huu ubunge hana shida nao na ndio maana anafunguka kiasi hiki.
Acha wasuguane wenyeweNahisi kutakua kuna sababu nyingine wala si sababu ya chanjo,
kama haya ni ya kweli, Rais awe makini na huyu mtu
View attachment 1873787