#COVID19 Askofu Gwajima: Viongozi na Wananchi wanaohimiza Chanjo ya COVID-19 ni wajinga na akili zao zimeenda likizo

Anazidi kushindilia

Anasema "ninaongea na wanafamilia"
 
Akikutajia hizo hoja, naomba uni-tag tafadhali
Ajabu sasa nenda YouTube ukasome hoja za wachangiaji ... utafikiri wameandaliwa na hoja zote ni za kumsifu mpwakwa mafuta wa bwana na kusifia misimamo feki ya homeboy wangu Jiwe(RIP)!
 
CCM wameparaganyika - Gwajima ni zao lao baada ya wizi wa kura kubarikiwa pale Kawe. haya hangaikeni naye huwenda ana hoja ya msingi, unaweza chanja ukajikuta baada ya miaka 10 unageuka zombi - teh teh teh
 
Ajabu sasa nenda YouTube ukasome hoja za wachangiaji ... utafikiri wameandaliwa na hoja zote ni za kumsifu mpwakwa mafuta wa bwana na kusifia misimamo feki ya homeboy wangu Jiwe(RIP)!
View attachment 1873843
Yaani ukienda YouTube na Instagram ndipo utakapojua Tanzania sio ina binadamu bali ina viumbe wenye mikono na miguu miwili, macho na masikio mawali, na pua kama walivyo wanyama wengine wote wasio hata kindergarten classes!
 
Hapo kuna makundi mawili,,wanaopinga chanjo za mRNa na wanaopinga chanjo zote kwasababu zimeharakishwa
 
Mmeshajiuliza haya MMASWALI1)
Uganda na KENYA WALICHANJA WATU WENGI SANA KWANINI MPAKA.LEO WANAZIKA FWATILIENI

2)UMESHAJUA KWANN MYSEVENI AMEPELEKA WATU LOCKDOWN WAKATI WANA CHANJO
3)UMESHAWAZA KWA NINI HIZI CHANJO KILA.MTU ANATAKA YAKE
NA KUNA NCHI USIPOPIGWA WALIOTAKA HUINGII MPAKA UCHANJWE HATA KAMA UNA J&J KUMI!!?
4)USHAJIULUZA HIZI CHANJO UNAZOCHANJWA BADO UKIENDA BAADHIYANCHI AWAELEWI UNACHANJWA TENA......
5)TULIZOEA KUONA WATOTO WANAKULA CHANJO HIZI ZA UKUBWANI ZINANINI!!????
6)UMEJIULIZQ KWANINI NCHI KAMA.UFARANSA INADIRIKI KUSEMA HUPATI HUDUMA BILA CHANJO
7)USHAJIULIZA KWANINI TANZANIA EANATUMIA AINA TOFAUTI NA UK NA MAREKANI ETC
8)USHAJIULIZA KWANINI MAREKAN WANAENDELEA KUFA HUKU WAKIWA NA CHANJO ZA KUTOSHAA!!?
9)KWANINI INDIA WAKUU WA CHANJO WAMETESEKA NA VIFO PAMOJA NA KULAMBA CHANJOOOOOO!??
9)USHAJIULIZA KWANINI KUNA NCHI ZILE CHANJO ZILIPOFIKA zilichunguzwaa na kurudishwa zilipotoka!?zilikuwa na niniii!!??UNAHISI HAZIKUWA NA VIWANGO!!!?
10)WANASEMA ZINATAKIWA ZIWE WE MEISHA NDAN YA MDA KADHAA USHAWAHI KUJIULIZA ZILIZO EXP zinaeda wapi.....

admin niwekee wimbooo huuu wa
nkwaaabuduuu nakuinuaaaaaa wewe n chanzoo Cha uhaii wanguu
nakusifuuu nakuabuduuu eeh Yes were n chanzo Cha uzima wangu..nakuinuaaaaaa nakuinuaa wewe n chanzo Cha uzima wangu



Ninajuaa kushiba na KUONA njaa wewe Badooo Mungu

Achaa gizaa naloo.litandee nitakuabudu wewe Badooo Mungu

Hataaaaa upepo naoo uvumee upite ktk yotee wewee Badoo n Mungu

MUNGU ATUTANGULIE ATUPE MWISHO MWEMA NDIO CHANZO CHA UHAI WANGU NA WAKO
 
Mungu atakuja kuihitaji damu yako mikononi mwake. Waokoe watu pale inapowezekana.
 
Ngebe mie nahisi ww ni vyatu zombie! Kwani kakosea nini Askofu Gwajima?
 
Gwajima kanyagia hapo hapo hakutishi mtu yoyote nchi hii,wanabweka bweka tu lakini wewe una watu. Hakugusi umbwa yoyote.
 
Hata yule mkuu wa mkoa aliyetumbuliwa naskia alifurahi sana coz alisema asingeweza kufanya kazi na awamu ya sita kwa sababu alikuwa loyal kwa jiwe
 

Askofu chidi katika ubora wake wa chokochoko[emoji16][emoji16]
Mbna mnateseka Sana wazee , yeye kasema chanjo ya Jonson Jonson ni miyeyusho , tofaut na chanzo zingine wanazopewa Wazungu ,....!! Akadai mje mtudhibitishie ubora wa hyo chanjo , na sio kuchanja watu alaf mnawasainisha fomu ya kujitoa endapo litawapata la kuwapata...badala ya kujibu hoja mnapiga kelele humu , pumbavu kabisa
 
Yaani ukienda YouTube na Instagram ndipo utakapojua Tanzania sio ina binadamu bali ina viumbe wenye mikono na miguu miwili, macho na masikio mawali, na pua kama walivyo wanyama wengine wote wasio hata kindergarten classes!
Kuchanja ni hiari na imani.

Wewe kama unaamini basi usimbeze asiye amini.
Kila mtu afwate Imani yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
CCM wameparaganyika - Gwajima ni zao lao baada ya wizi wa kura kubarikiwa pale Kawe. haya hangaikeni naye huwenda ana hoja ya msingi, unaweza chanja ukajikuta baada ya miaka 10 unageuka zombi - teh teh teh
Anatoa mtazamo wake kwani shida iko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…