Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.

Acha kutetea uovu kwa kuandika upuuzi.
 
Utawala wa kishetani ndio huu. Mkuu akisema, neno hugeuka kuwa sheria.
Alisema mtaishi kama [emoji83][emoji84][emoji83][emoji3517][emoji88]
Mnakurupuka kuilaumu serikali wakati ni Mmiliki wa hotel na kampuni yake ya ulinzi anaitwa Minja na amesema huyu jamaa ndio anatembeza fweza kwa askari njaa na wanaharibu ametaja kwa kudokoa nyaraka muhimu.
Amemtaja mkuu wa kituo cha polisi majengo.

Pia ametaja na uongozi wa polisi mkoani kilimanjaro.
Ikumbukwe huyu askofu aligombea au alitia nia ubunge moshi mjini kupitia CCM.

Mfanye tafiti au uisome habari vizuri kabla hujaleta matatizo yako binafsi na kuilaumu serikali kila unapokwama ukizani ikibadilika na maisha yako yatabadilika ukweli ni hapana, wewe utatoka hapo ulipo kwa jitihada zako binafsi na sio wanasiasa.
 
Mungu akubariki sana mkuu Chizi Maarifa. Kongole
 
Hii siyo vitiligo kweli? Google: Vitiligo. Umewesha shika ndugu zako uchawi, kumbe ugonjwa wa kawaida.
 

Umeongea lugha ya marusi na kashfa kuonyesha wewe ni wakala wa shetani? Kumtaja Kristo sio sababu ya kuwa mwana wa Mungu. Ila nitaacha maandiko yakuaibishe ili Kristo atukuzwe.

1. Ungejuwa na elimu ya Roho basi ungeelewa kuwa dola la waisraeli zamani za agano la kale lilikuwa chini ya Mungu mwenyewe kama mfalme wao, ndio kisa cha kuwatoa Misri ili wamtumikie. Kwa hiyo hata manabii kukemea watawala ni kwa sababu walikuwa wawakilishi wake. Hiyo ilikuwa Theocratic government.

2. Hai mitume waliouawa no wapi walikemea seriiali? Fungua maandiko tuone. Unajiita mkristo wakati hujui hata huyo unayemtaja alikuja kufanya nini duniani. Tena umekuwa kondoo kipofu usiyejua hata Kristo aliagiza nini.

3. Unajua sababu ya kukimbilia Misri? Alimkemea nani? Alikemea wanasiass ndio akakimbia?
4. Nakusihi ujibidiishe kusoma neno ili uwe na maarifa ukome kuchanganya siasa na imani
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Waliomfanyia ni mdai wake wanakesi mahakamani ya madai,jamaa anaroho mbaya sana unadaiwa hela unataka kumtoa mtu roho
 
Policeccm hawana tofauti na wacheza vigodoro
 
asante umenifungua na me nimepata rungu la kutetea siasa na din
 
sawa mbona mtu akikosoa serikali mnasema katumwa na mabeberu wakat unakuta mtu hata zizi hana
 
je viongozi wa dini kuwaruhusu wanasiasa kutumia madhabahu kama majukwaa ya siasa ni sahihi au napo ndo viongozi wa siasa wanaingilia dini
 
Sasa kama Period ni Heshima kwa Mwanamke kuna tatizo gani pale juu kwa Jamaa kutoa heshima kwa Kumwambia huyo Mwanamke amechangia Akiwa Period ?
Kama akili zako zinakutuma kuwa amesema hivyo kwa heshima sina namna ya kufafanua zaidi.
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Unamaanisha nini? kwanini Siasa ninini
 
Msamehe bure huyo ndugu maana wanamaini ili usiwe unachanganya Siasa uunge juhudi
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Hivi aliyekuwa anawachagulia/ kuwateuliwa Wana wa Israel mfalume ni Nani? Na je cheo cha ufalme kilikuwa Cha kidini au kisiasa
 
Nafikiri tunapojadili issue ya Askofu tuijadili bila kuingiza hisia. Tuvae utu na ubinadamu. Tukio la kutekwa na kuvalishwa taulo lenye kemikali za sumu ni la Mei 2018 na aliwatambua wawili kati ya watu tisa kuwa ni miongoni mwa wale aliokutana nao baada ya OCS kituo cha Majengo kutoa namba zake kwa hao watekaji. Kuna ushahidi mzuri kama huo? Ushahidi huo unaunganika na ule wa vijana wa bodaboda waliomuokota na kumpeleka hospitali. Hilo la kwanza. Lakini la pili, wale wawili aliowatambua ndio ambao alikutanishwa nao na OCS Majengo ambaye ndiye aliyetoa namba zake, ili wazungumze nje ya utaratibu wa kipolisi kuhusu shauri lake la kuibiwa vitu na fedha vyenye thamani ya over 8 milioni alipoegesha gari lake katika grocery ya Kwa Minja. Ni watu hao hao ambao wawili ndio walikuja kumteka. Sasa tujiulize, tangu 2018 alipoandikisha maelezo na kuwataja waliihusika, polisi Moshi walichukua hatua gani? Leo unaitwa ukatoe maelezo upya kwa polisi wale wale.
 
je viongozi wa dini kuwaruhusu wanasiasa kutumia madhabahu kama majukwaa ya siasa ni sahihi au napo ndo viongozi wa siasa wanaingilia dini
kanisani mtu akikaribisha ni hiari ya mkaribishaji hata waislamu hukaribishwa kanisani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…