nguruka wa kig0ma
JF-Expert Member
- Jan 16, 2020
- 2,946
- 2,932
Na wanasiasa wasiende kwenye nyumba za ibada na kuongea siasa. Waabudu na waondokeWaambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.
Biblia gani hizo wanasoma?
Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Ila angekuwa upande wa CCM sawa, akiwa upinzani nongwa!Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.
Biblia gani hizo wanasoma?
Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Kuna 1) kusoma Biblia na 2) kuna kuielewa au kutoielewa Biblia.Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.
Biblia gani hizo wanasoma?
Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Sio kweli, kuanzia king Saul na kuendelea hao walikuwa na kofia mbili, political and spiritual. Thou Prophets walikuwepo pia.Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.
Biblia gani hizo wanasoma?
Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Nabii Isaya alikuwepo kipindi cha Sauli??au na ww boss hujui biblia vizur?Basi unasoma halafu huelewi. Ungekuwa unaelewa ungeelewa kwa nini Yeremia alifungwa, nani alihusika kumchagua Saul na kumtengua, nani alimteua Daud... Ungefahamu Ugomvi wa Yesu na Utawala wa Kirumi, kwa nini Yohana mbatizaji alikatwa kichwa. Yapo mengi unafahamu Yohana Mbatizaji alikemea nini?
Siasa ipo sana katika Biblia labda kama huelewi. unamfaham Esther alifanya nini pale Harmani alipotaka kuwatowesha watu wake?
Wewe hufahamu Siasa ndo maana unaona kama hakuna Siasa. Biblia ina Siasa sana na ina watumishi wengi ambao wamehusika na siasa.
Nabii Isaya alienda kumwambia Sauli mwanasiasa kuwa Mungu amemkataa.. hiyo haikuwa Siasa?
Hao wanasiasa kwa nini wanaapishwa na viongozi wa Dini au wanatumia Biblia na Quran kuapa? Hiyo siyo kuchanganya Dini na Siasa?
Nabii Isaya alikuwepo kipindi cha Sauli??au na ww boss hujui biblia vizur?
Huna hoja? Basi ni hekima ukae kimya.Acha kupotosha ww..
Huna jibu mkuu? Mbona unatapatapa? Sodoma na Gomora ku na siasa?Umenisikitisha sana. Mpaka machozi yamenitoka kuona Dunia ya leo bado tuna watu wa aina yako. Inawezekana wakati wa sodoma na gomora au lutu walikuwa watu wema kuliko wewe.
Huna jibu mkuu? Mbona unatapatapa? Sodoma na Gomora ku na siasa?
Wee ndo kaa kimya na acha kupotoshaHuna hoja? Basi ni hekima ukae kimya.
Pole askofu Wataje dunia iwajueTukio la Askofu Pius Ikongo kutekwa na watu wenye silaha aina ya bastola wakiwa na magari mawili na kufunikwa na kitambaa chenye sumu na kupata madhara makubwa mwilini linasikitisha sana.
Kinachoumiza ni kutokamatwa wala kuhojiwa kwa watesi wake licha ya kuwatambua na kuwataja kwa majina katika maelezo yake polisi.
Kwa maelezo yake, ametumia zaidi ya milioni 170 kujitibu Afrika Kusini, Kenya, Muhimbili na KCMC kwa mwaka mmoja na nusu.
Take note: Askofu huyu ameoa kwenye familia ya Nyerere.
Msikilize hapa:
View attachment 1484754
Leta vifungu bana,Basi unasoma halafu huelewi. Ungekuwa unaelewa ungeelewa kwa nini Yeremia alifungwa, nani alihusika kumchagua Saul na kumtengua, nani alimteua Daud... Ungefahamu Ugomvi wa Yesu na Utawala wa Kirumi, kwa nini Yohana mbatizaji alikatwa kichwa. Yapo mengi unafahamu Yohana Mbatizaji alikemea nini?
Siasa ipo sana katika Biblia labda kama huelewi. unamfaham Esther alifanya nini pale Harmani alipotaka kuwatowesha watu wake?
Wewe hufahamu Siasa ndo maana unaona kama hakuna Siasa. Biblia ina Siasa sana na ina watumishi wengi ambao wamehusika na siasa.
Nabii Isaya alienda kumwambia Sauli mwanasiasa kuwa Mungu amemkataa.. hiyo haikuwa Siasa?
Hao wanasiasa kwa nini wanaapishwa na viongozi wa Dini au wanatumia Biblia na Quran kuapa? Hiyo siyo kuchanganya Dini na Siasa?
Acha dhihaka!Yawezekana huwa unasoma biblia ukiwa period ndiyo maana huoni siasa kwenye dini.
Mbona matukio ya kitaifa mnawaalika kuja kupiga sala kwanini mchanganye siasa na dini.
Watumishi wa Mungu wasio kemea udhalimu kwa kisingizio kuwa dini haitakiwi kuchanganya na siasa ni sawa na mtumishi wa shetani
Unataka watumishi wafumbie macho udhalimu wa awamu ya tano ???
Nawashangaa, Yohana, mara Daudi, mara Sauli yaani wanasema tu, mara niko naandika niko mwezini,@Mamdenyi uko sahihi kabisa. Huwa nawashangaa wanaokimbilia Agano la Kale kuhalalisha kanisa kujihusisha na siasa za dunia. Wanachukua mfumo wa taifa la Israeli ya kale wanajaribu kuuoanisha na serikali za sasa.
Yesu Kristo hakuwahi kuwa na ugonvi na "serikali" badala yake maadui zake namba moja walikuwa watu wa "dini." Pilato alijaribu kumfungua awe huru, watu wa dini walisema nini?
Sio sawa kuhubiri siasa badala ya habari za ufalme wa Mungu. Yohana Mbatizaji hakufungwa kwa sababu za kisiasa bali baki za binadamu. Sababu za haki za binadamu kwa kumkemea Herode kupora mke wa ndugu yake, hilo nalo ni siasa? Tafakari
Usiogope, hawajui.Hapo umedhalilisha utu wa mwanamke, huna mama wala dada wewe? Huwezi kuchangia mada kwa hoja bila matusi? Hiyo period ndio heshima ya mwanamke acha matusi kwa mama na dada zetu &*¥₩# wewe [emoji35][emoji35]
Kuna sheria ambayo imekataza hilo!?Huyu atakuwa ni askofu wa yale Makanisa ambapo anakuwa askofu mkewe Mhasibu
Kuna dhihaka ipi hapo ?Acha dhihaka!
Period imehusika vipi?
Ni hatari sana, cha kushangaza wanasiasa wakitumia majukwaa ya kidini watu wanachukulia poa tu.Umezingua..., hujui kwamba siasa ni maisha yetu, nao tupo nao? mbn kwenye mambo ya siasa wanaalikwa kuombea?