Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Kwa hiyo alichotendewa ni sahihi kabisa kwako kwa sababu tu yeye ni Askofu?
Pumbavu sana
 
Kwahiyo mmeona huyo askofu katekwa kwasababu za kisiasa?au ndo watanzania wa jamii forum katika ubora wenu
Hapa tuna watu ambao ufahamu wao ni CCM na CHADEMA basi! Huwezi hata kuelewa walimaliza darasa la ngapi!
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Kama ni hivyo mbona kuapishwa wanatumia vitabu vya dini?au yale ni majalada yake labda mle ndani hakuna mistari
 
SASA NMEGUNDUA TATIZO ULILO NALO NI KUBWA KULIKO NLIVYODHANIA. HILO HALIKUTOKI ISIPOKUWA KWA KUFUNGANA KUOMBA.

Nyenyere Crimea hii mnadhani siyo siasa? Au kwa kuwa hamjaona chadema,act na ccm? Au hamjaona neno Mbunge,waziri,mkuu wa mkoa,mkuu wa wilaya n.k? Jaman why hampendi kutumia akili?

Wewe unarumia akili yako sisi tunatumia hekima ya Mungu. Kwako hekima hii inaonekana ni upumbavu kea sababu unapotea.

Hakina siasa

Hebu tuonyeshe wewe mwenye akili siasa iko wapi hapo? Watu wanazuiwa kuhubiri JINA LA YESU, ndio siasa hiyo? Fafanua tuone basi
 
Turudi kwenye agano jipya. Kikubwa kinachokemewa ni udhalimu, haijalishi ni mtu gani anatenda, Yesu aliukemea hadharani bila oga, Yohana alifanya hivyo, mfalme mmoja enzi za mitume alikufa kwa chango kwa ajili ya udhalimu na kumkufuru Mungu kupitia huo udhalimu.

Viongozi wa dini mchana kweupe bila kuogopa kemeeni maovu na udhalimu bila kuchagua sura.

Mchungaji mwema hawezi kuacha kondoo wakaliwa na mbwa mwitu au mbweha, ktk siasa za leo kuna mbweha wengi, tuwape ngumi za uso na makavu laivu bila oga.
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Wewe ni takataka ibilisi tena wahed blalifuu
 
Kwa hii story ya Askofu Ikongo inaonesha picha halisi ya jinsi nchi hii ilivo na TABIA ZA WATANZANIA!
Kama watu wamethubutu kupanga KUMWUA ASKOFU MTUMISHI WA MUNGU na tena KADA WA CCM wakishirikiana na Vyombo vya Ulinzi na Usalama.....!!
Hebu fikiria angelikuwa ni MPINZANI angelifanywaje?
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Mwanamke atabaki kuwa mwanamke tu Idiots.
 
Kukemea udhalimu sio SIASA!! Jukumu la viongozi wa dini ni Kukemea DHAMBI, sio siasa za CHADEMA na CCM. Dhambi ni standard, haina chama. Kukemea maovu ni jukumu la kila mmoja, bali kujiingiza kwenye siasa sio wajibu wa viongozi wa kidini. Kama mkristo anavyoweza kuwa rais kwenye zama hizi, ndivyo ilivyo kwa mwislamu n.k. Tuache kumshusha Mungu kwa kumhusianisha na mifumo ya hovyo ya kidunia.
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Mama, achana na propaganda za ajabu. Kama hujui Jambo usijifanye unajua
 
Mkuu umeeleza vzr, ila aliyeenda kumjuza mfalme Sauli kuwa MUNGU amemkataa ni Nabii Samwel
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Siku hizi siasa na dini imekuwa pete na kidole
Imefika wakati viongozi wa siasa wanaoenda kuabudu kwenye sehemu za ibada kutengewa muda maalum nakualikwa kwenye mimbali kutangaza kampeni na kupiga porojo za siasa kana kwamba wako kwenye majukwaa ya siasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…