Waendelee kutesa wenzao tu wasubirie maridhiano. Hata Mungu analipa kisasi kwa waovu.Nchi haijengwi kwa visasi bali nchi inajengwa kwa maridhiano!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waendelee kutesa wenzao tu wasubirie maridhiano. Hata Mungu analipa kisasi kwa waovu.Nchi haijengwi kwa visasi bali nchi inajengwa kwa maridhiano!!!
Kisasi ni juu ya Bwana Mungu wala si wewe ukifanya hivyo unafanya vibaya!!!Waendelee kutesa wenzao tu wasubirie maridhiano. Hata Mungu analipa kisasi kwa waovu.
Tena alikwishaelezea ni watu waliomuibia wa Hoteli aliyopaki gari.Kwahiyo mmeona huyo askofu katekwa kwasababu za kisiasa?au ndo watanzania wa jamii forum katika ubora wenu
Ila roho ya kuwatesa na kuwaua watanzania kwa sababu ya kulinda maslahi ya wapuuzi wachache hiyo iendelee siyo?Roho ya aina hiyo ya kulipiza visasi na Ishindwe na inyong`onyee kwa Majina yote Matakatifu,Mambo kama hayo ya visasi ndiyo yanayowatesa mpaka leo hii Waarabu huko mashariki ya kati!!!
Nimenukuu post iliyosema maaskofu waachane na siasa, sijamnukuu mleta mada. Kumpiga mtu na kujaribu kumyoa roho ni unyama mbaya sana hata kama ni mhalifu. Sasa huyu bishop hadi nashindwa kumtazama kwa jinsi walivyomfanya. Bali mimi hoja yangu ni viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa. This goes kwa watawala pia kutumia mimbari kama jukwaa la siasa, makosa ni ya viongozi wa dini kuruhusu hili.Hapo mzee hazungumzii siasa anazungumzia afya yake na kutekwa kwake wewe mambo ya siasa unayatoa wapi.
Hopeless
PointiNimenukuu post iliyosema maaskofu waachane na siasa, sijamnukuu mleta mada. Kumpiga mtu na kujaribu kumyoa roho ni unyama mbaya sana hata kama ni mhalifu. Sasa huyu bishop hadi nashindwa kumtazama kwa jinsi walivyomfanya. Bali mimi hoja yangu ni viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa. This goes kwa watawala pia kutumia mimbari kama jukwaa la siasa, makosa ni ya viongozi wa dini kuruhusu hili.
Nasubiri siku akiwepo rais mwislamu halafu awe akitoa matamko mbalimbali tokea misikitini siku ya swala ya ijumaa. Unadhani upande wa pili utakaa kimya?
Kabisa yaani jamaa namshangaa sana.Ila roho ya kuwatesa na kuwaua watanzania kwa sababu ya kulinda maslahi ya wapuuzi wachache hiyo iendelee siyo?
Wanaochukuliwa kimabavu na kupelekwa mafichon kufanywa wanayofanyiwa wana watoto, wake, wazazi, ndugu na jamaa wanaowategemea.
Bila kutoa funzo kwa hao wahuni wanayofanya haya hii tabia haitakoma, nia na madhumuni ni kukomesha tabia hii, jino kwa jino! Ni suala la muda tu
Upo sahihiBasi unasoma halafu huelewi. Ungekuwa unaelewa ungeelewa kwa nini Yeremia alifungwa, nani alihusika kumchagua Saul na kumtengua, nani alimteua Daud... Ungefahamu Ugomvi wa Yesu na Utawala wa Kirumi, kwa nini Yohana mbatizaji alikatwa kichwa. Yapo mengi unafahamu Yohana Mbatizaji alikemea nini?
Siasa ipo sana katika Biblia labda kama huelewi. unamfaham Esther alifanya nini pale Harmani alipotaka kuwatowesha watu wake?
Wewe hufahamu Siasa ndo maana unaona kama hakuna Siasa. Biblia ina Siasa sana na ina watumishi wengi ambao wamehusika na siasa.
Nabii Samweli alienda kumwambia Sauli mwanasiasa kuwa Mungu amemkataa.. hiyo haikuwa Siasa?
Hao wanasiasa kwa nini wanaapishwa na viongozi wa Dini au wanatumia Biblia na Quran kuapa? Hiyo siyo kuchanganya Dini na Siasa?
Kuweni na huruma na wanadamu wenzenu yale yale yaliyomtokea Yesu yanawatokea watenda haki.Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.
Biblia gani hizo wanasoma?
Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Wameshatufikia tayariWakimalzn na sisi wataanza na Nyie (wenyewe)
Laana zinawafyekelea mbali.Laana hazitawaacha kwa ukatili huu