Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

Askofu Ikongo: Walioniteka, kunivalisha kitambaa cha sumu nawafahamu

Roho ya aina hiyo ya kulipiza visasi na Ishindwe na inyong`onyee kwa Majina yote Matakatifu,Mambo kama hayo ya visasi ndiyo yanayowatesa mpaka leo hii Waarabu huko mashariki ya kati!!!
Ila roho ya kuwatesa na kuwaua watanzania kwa sababu ya kulinda maslahi ya wapuuzi wachache hiyo iendelee siyo?
Wanaochukuliwa kimabavu na kupelekwa mafichon kufanywa wanayofanyiwa wana watoto, wake, wazazi, ndugu na jamaa wanaowategemea.

Bila kutoa funzo kwa hao wahuni wanayofanya haya hii tabia haitakoma, nia na madhumuni ni kukomesha tabia hii, jino kwa jino! Ni suala la muda tu
 
Hapo mzee hazungumzii siasa anazungumzia afya yake na kutekwa kwake wewe mambo ya siasa unayatoa wapi.

Hopeless
Nimenukuu post iliyosema maaskofu waachane na siasa, sijamnukuu mleta mada. Kumpiga mtu na kujaribu kumyoa roho ni unyama mbaya sana hata kama ni mhalifu. Sasa huyu bishop hadi nashindwa kumtazama kwa jinsi walivyomfanya. Bali mimi hoja yangu ni viongozi wa dini kujiingiza kwenye siasa. This goes kwa watawala pia kutumia mimbari kama jukwaa la siasa, makosa ni ya viongozi wa dini kuruhusu hili.

Nasubiri siku akiwepo rais mwislamu halafu awe akitoa matamko mbalimbali tokea misikitini siku ya swala ya ijumaa. Unadhani upande wa pili utakaa kimya?
 
Pointi
 
Ila roho ya kuwatesa na kuwaua watanzania kwa sababu ya kulinda maslahi ya wapuuzi wachache hiyo iendelee siyo?
Wanaochukuliwa kimabavu na kupelekwa mafichon kufanywa wanayofanyiwa wana watoto, wake, wazazi, ndugu na jamaa wanaowategemea.

Bila kutoa funzo kwa hao wahuni wanayofanya haya hii tabia haitakoma, nia na madhumuni ni kukomesha tabia hii, jino kwa jino! Ni suala la muda tu
Kabisa yaani jamaa namshangaa sana.
 
Basi unasoma halafu huelewi. Ungekuwa unaelewa ungeelewa kwa nini Yeremia alifungwa, nani alihusika kumchagua Saul na kumtengua, nani alimteua Daud... Ungefahamu Ugomvi wa Yesu na Utawala wa Kirumi, kwa nini Yohana mbatizaji alikatwa kichwa. Yapo mengi unafahamu Yohana Mbatizaji alikemea nini?

Siasa ipo sana katika Biblia labda kama huelewi. unamfaham Esther alifanya nini pale Harmani alipotaka kuwatowesha watu wake?

Wewe hufahamu Siasa ndo maana unaona kama hakuna Siasa. Biblia ina Siasa sana na ina watumishi wengi ambao wamehusika na siasa.

Nabii Samweli alienda kumwambia Sauli mwanasiasa kuwa Mungu amemkataa.. hiyo haikuwa Siasa?

Hao wanasiasa kwa nini wanaapishwa na viongozi wa Dini au wanatumia Biblia na Quran kuapa? Hiyo siyo kuchanganya Dini na Siasa?
Upo sahihi
 
Hahaha hii dunia hii, hata siielewi. Sasa askofu mzima naye anataka kulipiza kisasi?!

Kapigwa shavu la kushoto angegeuza na la kulia sasa.

Askofu you still want you get even, duh.

Huyu anaonekana hataki hata kufa, na hajajifunza kwamba njia ya kwenda mbinguni lazima ufe. He was half way to die, why fight back?!

Hataki ufalmecwa Mbingu huyu.

Alipaswa awasamehe nasi tuige mifano ya watumishi wa Mungu kusameheana.
 
Mtu mwenye nafasi kubwa kwenye jamii anafanyiwa hayo na hatendewi haki mpaka kuishia kulalamika mitandaoni, je kwa mtu mlalahoi masikini ingekuwaje?
 
Waambieni hao viongozi wa kanisa waachane na siasa.

Biblia gani hizo wanasoma?

Mi nimesoma Bible ya king James, nimesoma lost books from the bible, ninasoma wisdom of Solomon (apocrapha) sijaona vikimchanganya Mungu na politics.
Kuweni na huruma na wanadamu wenzenu yale yale yaliyomtokea Yesu yanawatokea watenda haki.
 
Kuihoji serikali ya awamu ya tano ni sawa ni sawa na kukihoji Kifo; Mateso na kufilisiwa.

Hii ni onyo kwa wananchi vimbelembele..no one is safe...

Ukitaka udumu na kuishi kwa amani hapa TZ imba sifu na kuabudu jina lake...
 
Wakimalzn na sisi wataanza na Nyie (wenyewe)
 
Back
Top Bottom