Askofu Isaya Mengele na Askofu Mwaikali, mgogoro wa KKKT Dayosisi ya Konde unawapaka matope!

Something is not ok somewhere. Hii migogoro ya KKKT ina kitu ndani yake. Ni kwa maslahi ya nani? Ilianza kule Dayosisi ya Arumeru miaka ile Enzi za Askofu Kweka. Haijawahi kuisha mpaka leo 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 

Hawa ndio wachawi wanaomshauri huyo sikofu
 
Alafu hilo jina hilo hilo jina hilo 'Mengele' jews wakilisikia tumbo moto
 
....... Ila bwana yule alikuwa anaongea chochote kinachomjia kichwani.
Kwenye mediation unapopata nafasi ya kuwa mediator sharti ukae katikati, hata kama unajua upande mmoja ndio unazingua wewe sharti uwe impartial ili kutafuta suluhu, huu ndio tunaita unafiki wenyewe wa kidiplomasia. Kuna wengine hawana, mfano uliotolewa possible ni kweli ana Siri nyingi za hao masista ila sasa kuziaddress ndio shida ilipo ndio maana watu huchagua kuongea kile watu wanachopenda kusikia
 
Askofu Bagonza yuko bize na kupinga Chato kuwa mkoa ila haoni hii migogoro kabisa.
Askofu Bagonza ni huko huko.
Sisi tunalia na Kiti ha Askofu, na inaelekea mzozo ni mkubwa zaidi kwa vile kuna tuhuma nzito ambazo hazijajitokeza.
Tuhuma hizo zitatoka tu maana kuna kundi halitaki kusikiliza suluhu.
 

Ngwamba yuko marekani alikotokea anaendelea kubeba boksi !! Mnadanganywa na hizo degree mnafikiria ndio UPAKO ? Hakuna kitu kama hicho mkitaka kujua askofu wenye UPAKO nendeni mkajifunze Zanzibar kwa Askofu JOHN RAMDHANI!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…