Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

Uchaguzi 2020 Askofu Josephat Gwajima achukua fomu ya kuwania Ubunge Jimbo la Kawe kupitia CCM

LEO USIKU NIMEMWOTA DR ASK GWAJIMA AKILA KIAPO CHA UTII NA KUTUNZA SIRI ZA BARAZA

NAMTAKIA KILA LA KHERI MH DR ASKOFU GWAJIMA
 
KAWE ANATOSHA

MUKAMA.MULLUNJI
FB_IMG_1594796572924.jpg
 
Kondoo wote walionona kawala atamchunga nani tena? Masikini Frola Mbasha
Mnaosema kwamba bishop alimkula Madam Flora wakati hamjaleta video ya madam kuliwa na bishop mnakwama wapi au na nyie ni walaji na waliwa?
 
Mnaosema kwamba bishop alimkula Madam Flora wakati hamjaleta video ya madam kuliwa na bishop mnakwama wapi au na nyie ni walaji na waliwa?
Binafsi sina chuki na Huyo bwana, Ila kwa hali ya kawaida mambo mengi yailiyo kuwa yanazungumziwa ju yake huenda alikuwa anayafanya kweli!

Kwani kitendo cha kukiuka matamshi yake yakuto jiingiza kwenye siasa tena kwa msisitizo mzito .Kime onyesha dhahili udhaifu wake!
 
Sasa tumfanyeje wana Kawe?
 
Mie nitakuwa wa mwishi kumuelewa Gwajima!
Ongea yake, tabia zake, tembea yake, matendo yake, kiburi na majivuno yake inaniambia pasi na shaka tena kwa asilimia 100 'hatoki kwa Muumba'
 
Labda abebwe na kabila lake, hana lolote la kuwaambia wapiga kura wa Kawe wakamuelewa, bora akachunge kondoo zake tu.
Kabila lake kwao huko sio Dar hapa , waumini wa kanisa lake kazi wanayo
 
Huyu atakatwa mapema Sana.Sijui Kama huyu Ni mwanachama wa CCM na ameilipia kadi yake kwa miaka mingapi. Lakini CCM Jimbo la Kawe wanapumulia mashine hivyo lazima wamchague huyu japo hauziki mtaani ila anaafadhali kidogo. Kawe ni ya Mdee
Kuna watu wawili kwenye uchaguzi huu ambao wanatakiwa wasifanye hata chembe ya kosa, vinginevyo hawatapata Ubunge. Hawa ni Mh. Halima Mdee na Mh. Dk Tulia Ackson. Wapinzani wa watu hawa ni watu ambao hawana CV ya kisiasa, wana CV ya kijamii. Mh. Sugu aliingia Bungeni si kwa sababu alikuwa na umaarufu kisiasa, hapana, alikuwa maarufu kwenye jamii ya watu wanaomzunguka tu basi. Hii pia ni sahihi kwa Askofu Gwajima, ni mtu hana umaarufu wowote kisiasa lakini ni maarufu sana kijamii. Japo mimi siyo mwana Siasa, lakini ukweli ni kuwa ukikutanisha watu wawili kwenye kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya kisiasa, mmoja akawa ni maarufu kisiasa na mwingine maarufu kijamii, the chances are aliye maarufu kijamiii huwa ana nafasi ya asilimia 90 kushinda. Sina nia mbaya na Mh. Mdee lakini uwezekano mkubwa ni kuwa akipitishwa Gwajima kama mgombea jimbo la Kawe, Mh. Mdee lazima ataondoka safari hii. Vile vile nazidi kusisisitiza Mh Ackson ajipange kisawasawa huko Mbeya kuweza kumng'a Mh. Sugu. Vile vile wagombea watakaojichanganya kuingia jimbo la Profesa J, nao vile vile inabdi wafanye kazi ya ziada. Come Oktoba 25 mtakuja kuniambia!
 
Gwiji wa nini au lile gwiji la kula kondoo wake na kucheza porno [emoji23][emoji23][emoji23]
Hao wanaofanya kazi ya kuchafua watu kwa picha za kwenye mtandao mimi nadhani ndiyo wamesababisha achukue formu, alishawajua
 
Back
Top Bottom