Kondoo wote walionona alishawala atachunga nini sasa?Labda abebwe na kabila lake, hana lolote la kuwaambia wapiga kura wa Kawe wakamuelewa, bora akachunge kondoo zake tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kondoo wote walionona alishawala atachunga nini sasa?Labda abebwe na kabila lake, hana lolote la kuwaambia wapiga kura wa Kawe wakamuelewa, bora akachunge kondoo zake tu.
Hazijafa bali amekufa yeye, huduma za kiroho zipo pale paleKwahiyo huduma ya kiroho ndiyo basi??
Mnaosema kwamba bishop alimkula Madam Flora wakati hamjaleta video ya madam kuliwa na bishop mnakwama wapi au na nyie ni walaji na waliwa?Kondoo wote walionona kawala atamchunga nani tena? Masikini Frola Mbasha
Binafsi sina chuki na Huyo bwana, Ila kwa hali ya kawaida mambo mengi yailiyo kuwa yanazungumziwa ju yake huenda alikuwa anayafanya kweli!Mnaosema kwamba bishop alimkula Madam Flora wakati hamjaleta video ya madam kuliwa na bishop mnakwama wapi au na nyie ni walaji na waliwa?
Hiyo Rangi ya shati ni kijani kweli?Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM.
Sasa tumfanyeje wana Kawe?Binafsi sina chuki na Huyo bwana, Ila kwa hali ya kawaida mambo mengi yailiyo kuwa yanazungumziwa ju yake huenda alikuwa anayafanya kweli!
Kwani kitendo cha kukiuka matamshi yake yakuto jiingiza kwenye siasa tena kwa msisitizo mzito .Kime onyesha dhahili udhaifu wake!
ni sare ya kwaya yakeHiyo Rangi ya shati ni kijani kweli?
una roho ngumu sana !LEO USIKU NIMEMWOTA DR ASK GWAJIMA AKILA KIAPO CHA UTII NA KUTUNZA SIRI ZA BARAZA
NAMTAKIA KILA LA KHERI MH DR ASKOFU GWAJIMA
Haaahhh basi sawa.ni sare ya kwaya yake
Kabila lake kwao huko sio Dar hapa , waumini wa kanisa lake kazi wanayoLabda abebwe na kabila lake, hana lolote la kuwaambia wapiga kura wa Kawe wakamuelewa, bora akachunge kondoo zake tu.
Ohooooo!!Kuna nini huko KaweView attachment 1507302
Sadaka zimepungua, kisa KORONA.Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge Jimbo la Kawe kwa tiketi ya CCM.
Kuna watu wawili kwenye uchaguzi huu ambao wanatakiwa wasifanye hata chembe ya kosa, vinginevyo hawatapata Ubunge. Hawa ni Mh. Halima Mdee na Mh. Dk Tulia Ackson. Wapinzani wa watu hawa ni watu ambao hawana CV ya kisiasa, wana CV ya kijamii. Mh. Sugu aliingia Bungeni si kwa sababu alikuwa na umaarufu kisiasa, hapana, alikuwa maarufu kwenye jamii ya watu wanaomzunguka tu basi. Hii pia ni sahihi kwa Askofu Gwajima, ni mtu hana umaarufu wowote kisiasa lakini ni maarufu sana kijamii. Japo mimi siyo mwana Siasa, lakini ukweli ni kuwa ukikutanisha watu wawili kwenye kinyang'anyiro cha kugombea nafasi ya kisiasa, mmoja akawa ni maarufu kisiasa na mwingine maarufu kijamii, the chances are aliye maarufu kijamiii huwa ana nafasi ya asilimia 90 kushinda. Sina nia mbaya na Mh. Mdee lakini uwezekano mkubwa ni kuwa akipitishwa Gwajima kama mgombea jimbo la Kawe, Mh. Mdee lazima ataondoka safari hii. Vile vile nazidi kusisisitiza Mh Ackson ajipange kisawasawa huko Mbeya kuweza kumng'a Mh. Sugu. Vile vile wagombea watakaojichanganya kuingia jimbo la Profesa J, nao vile vile inabdi wafanye kazi ya ziada. Come Oktoba 25 mtakuja kuniambia!Huyu atakatwa mapema Sana.Sijui Kama huyu Ni mwanachama wa CCM na ameilipia kadi yake kwa miaka mingapi. Lakini CCM Jimbo la Kawe wanapumulia mashine hivyo lazima wamchague huyu japo hauziki mtaani ila anaafadhali kidogo. Kawe ni ya Mdee
Hao wanaofanya kazi ya kuchafua watu kwa picha za kwenye mtandao mimi nadhani ndiyo wamesababisha achukue formu, alishawajuaGwiji wa nini au lile gwiji la kula kondoo wake na kucheza porno [emoji23][emoji23][emoji23]
Mfuko wake ulikuwa mkubwa kiasi gani, kama bahari?Anataka kufanya ya Askofu Makarios wa Cyprus?