PreGE2025 Askofu Josephat Gwajima: Nimeambiwa na Mungu kuisimamia Tanzania na nitaisimamia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
4,249
Reaction score
11,592
Ni sehemu ya mahubiri kanisani kwake Leo jumapili tarehe 25/5/2025...

Anasema:

1. Mungu kaniambia kuisimamia nchi hii ya Tanzania na nitaisimamia...

2. Kuna wengine wanasema wewe nani? Utajua tu. Hili la nilikuwa nani, utakuja kujua baadae..

3. Kuna wengine nikisema maneno haya huwa wanawaka na hasira kuwakaba na kuambizana, maliza mtu huyu. Mimi simalizwi na mtu kwa kuwa nimejazwa nguvu ya kuanzia na kumaliza..

View: https://youtu.be/-ne3LmHUj3M?si=O_JLZuTjBX9V20n0

✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅

Kwa swala la Tanzania yetu kwanza tupo nawe gwajima....
 
View: https://youtu.be/-ne3LmHUj3M?si=O_JLZuTjBX9V20n0
Ni sehemu ya mahubiri kanisani kwake Leo jumapili tarehe 25/5/2025...

Anasema:

1. Mungu kaniambia kuisimamia nchi hii ya Tanzania na nitaisimamia...

2. Kuna wengine wanasema wewe nani? Utajua tu. Hili la nilikuwa nani, utakuja kujua baadae..

3. Kuna wengine nikisema maneno haya huwa wanawaka na hasira kuwakaba na kuambizana, maliza mtu huyu. Mimi simalizwi na mtu kwa kuwa nimejazwa nguvu ya kuanzia na kumaliza..

✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅

Kimewaramba
 
Attachments

  • 20250524_221040.jpg
    20250524_221040.jpg
    99.8 KB · Views: 21
Mungu akulinde!,Mizimu yote ya Mababu katika Tanganyike Ikulinde!!....Gwajima Wewe ndie ...... wa Taifa Letu.
 
Mimi sipendi Utekaji ila Gwajima siwezi kumuamini anatumiwa na watu wazee wa No reforms Endeleeni kuomaa na Reforms
 
Kwa Nguvu alioyonayo mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Amri Jeshi mkuu Wewe Gwajima hawezi kutoka uko akaanza kuropoka wasimuweke ndani Michezo
 
Back
Top Bottom