G
guest-1790917349
Guest
Nileteeeeni Gwajima in magu voice 😅Ni sehemu ya mahubiri kanisani kwake Leo jumapili tarehe 25/5/2025...
Anasema:
1. Mungu kaniambia kuisimamia nchi hii ya Tanzania na nitaisimamia...
2. Kuna wengine wanasema wewe nani? Utajua tu. Hili la nilikuwa nani, utakuja kujua baadae..
3. Kuna wengine nikisema maneno haya huwa wanawaka na hasira kuwakaba na kuambizana, maliza mtu huyu. Mimi simalizwi na mtu kwa kuwa nimejazwa nguvu ya kuanzia na kumaliza..
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
View attachment 3345768