Kwa hiyo watu wakusikilize bwege kama wewe?Mmmmm kuanzia agano la kale manabii walitambuliwa na wananchi hawakujipigia debe kuwa ooh mimi ndio nabii wa taifa nina ujumbe kwa taifa Mungu kaniambia Gwajima,kifupi ni tapeli wa kidini tapeli mkubwa na kila asemaye Mungu kamtuma aseme kwa ajili ya taifa mwongo
Mungu aliowatuma walitambuliwa automatically bila matangazo ya mimi mimi
Mfano Yohana mbatizaji alitumwa na Mungu kuhubiri watu kutubu dhambi taifa la Israel hakuita vyombo vya habari kujitangaza alihama kabisa hata mjini akaenda kuishi porini kusiko na watu kabisa wala vyombo vya habari akaishi bila sadaka wala nyumba akiishi kwa kula matunda pori na asali na nguo akivaa ngozi za wanyama aliwindq si kuwa kipindi hicho walivaa ngozi hapana hata Yesu alivaa nguo
Hakuwa na youtube,tiktok wala spika za kuhubiri wala magari ya kupeleka injili wala Tv wala kampuni ya matangazo ya kumtangaza kuwa yeye ndie katumwa kuwa nabii wa Taifa lakini matokeo Yerusalem yote na Yudea yotehadi maaskofu ,mapadri maraisi,wabunge,maaskari, nk wa walienda kuungama dhambi kwake nakubatizwa
Gwajima tapeli tena Mwandamizi
Kipawa cha Mungu hakihitaji matangazo kuwa ooh Mungu kasema mimi ndio wa taifa
.Gwajima hopeless
Haijalishi Gwajima ni nani, au tapeli au malaika, yote sasa hivi hayana maana kwa waTanzania, mradi awe sauti inayosikika kukataa uovu unaofanywa na hao wanaokutuma wewe kuja hapa na upuuzi wako.