Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
By JPM (Rip)...Nileteeeeni Gwajima
Neteeni Gwajima
By JPM (Rip)...Nileteeeeni Gwajima
Neteeni Gwajima
Mbona kama nakosa connection hivi kati ya asemayo Gwajiboy na reforms?Mimi sipendi Utekaji ila Gwajima siwezi kumuamini anatumiwa na watu wazee wa No reforms Endeleeni kuomaa na Reforms
Katiba yangu hainiruhusu kuwachagua wanasiasa(Wewe) huchagui wanasiasa..!.Katiba inakutaka uchague wanasiasa kwa kuwapigia kura ni haki yako...labda kama una katiba Yako..inayokuzuia kuwapigia kura wanasiasa.
Waenda kanisani wachovu hatari asilimia kubwa malofa wataka kusaidiwa tuKanisani kwake ukifika hupati sehemu ya kukaa
Hivi lile pambano na bwana Albert liliishaje? Walisuluhu ama? 😄Huyu pimbi hajawahi kupoteza pambano
Nakukumbusha tu!
Halafu, yes ni shujaa ,Tz kwanza haijalishi nani
Nyie ambao mnalindwa Kuna siku hamtakua kwenye hizo nafasi zinaziwapa kiburi
Ni kweli wachovu lakini ndio wapiga kura haoWaenda kanisani wachovu hatari asilimia kubwa malofa wataka kusaidiwa tu
Huduma yake anaendesha kwa pesa zake tu kutoka vyanzo vyake vingine kuanzia majengo na gharama za uendeshaji
Sadaka za waumini wala hazina uwezo wa kuhimili gharama za uendeshaji wa kanisa lake
Inakuruhusu uwachague wakina nani..!?Katiba yangu hainiruhusu kuwachagua wanasiasa
Hainiruhusu kumchagua yoyoteInakuruhusu uwachague wakina nani..!?
Punguza wivu basi. Na wewe wakati wako ukifika, utaonekana shujaa.Kuna wajinga leo wanamuona huyu shujaa!
Bashite alisandaHivi lile pambano na bwana Albert liliishaje? Walisuluhu ama? 😄
Hili ni jukwaa la siasa unatafita nini huku? nenda kwenye jukwaa lenu la mapishiKama kuna mtu anamuamini mwana Siasa akapimwe mkojo tena kipindi hiki cha uchaguzi kila mtu anachanga karata zake vizuri.
Umewahi kuniona hukoHili ni jukwaa la siasa unatafita nini huku? nenda kwenye jukwaa lenu la mapishi
Unacholalamikia siasa nini wakati uko kwenye jukwaa la siasa?Umewahi kuniona huko
Maana yako ni nini.Kama kuna mtu anamuamini mwana Siasa akapimwe mkojo tena kipindi hiki cha uchaguzi kila mtu anachanga karata zake vizuri.
Wewe unajiona mjanja sana kumwamini Samia?Kuna wajinga leo wanamuona huyu shujaa!
Wewe hujui kuwa kuna waTanzania wanapotezwa na kuuawa,; unataka kitokee kitu gani ndipo uchokozwe. Mawano atekwe na kuuawa?Gwajima anajua kuuwasha sijui wamemchokoza nini aise.