The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 4,249
- 11,592
Hahahaha😂😂😂😂Kanisa litaanza kujaa tena
Kwani anachokisema sio cha kweli?Kuna wajinga leo wanamuona huyu shujaa!
Kwa swala la Tanzania yetu kwanza tupo nawe gwajima....
View: https://youtu.be/-ne3LmHUj3M?si=O_JLZuTjBX9V20n0Ni sehemu ya mahubiri kanisani kwake Leo jumapili tarehe 25/5/2025...
Anasema:
1. Mungu kaniambia kuisimamia nchi hii ya Tanzania na nitaisimamia...
2. Kuna wengine wanasema wewe nani? Utajua tu. Hili la nilikuwa nani, utakuja kujua baadae..
3. Kuna wengine nikisema maneno haya huwa wanawaka na hasira kuwakaba na kuambizana, maliza mtu huyu. Mimi simalizwi na mtu kwa kuwa nimejazwa nguvu ya kuanzia na kumaliza..
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
Kimewaramba

Si kila mtu awe kama wewe!Kuna wajinga leo wanamuona huyu shujaa!
Kwamba Kuunyamazia uovu ndio Uzalendo??....basi acha niwe Pimbi ,Gwajima ni Shujaa.Kuna wajinga leo wanamuona huyu shujaa!
Wewe usiwaaamini Sisi Wengine tunawaaminiKama kuna mtu anamuamini mwana Siasa akapimwe mkojo tena kipindi hiki cha uchaguzi kila mtu anachanga karata zake vizuri.
Ni wapi nimekulazimisha uamini kile ambacho mimi na amini?Wewe usiwaaamini Sisi Wengine tunawaamini