G
Nileteeeeni Gwajima in magu voice 😅Ni sehemu ya mahubiri kanisani kwake Leo jumapili tarehe 25/5/2025...
Anasema:
1. Mungu kaniambia kuisimamia nchi hii ya Tanzania na nitaisimamia...
2. Kuna wengine wanasema wewe nani? Utajua tu. Hili la nilikuwa nani, utakuja kujua baadae..
3. Kuna wengine nikisema maneno haya huwa wanawaka na hasira kuwakaba na kuambizana, maliza mtu huyu. Mimi simalizwi na mtu kwa kuwa nimejazwa nguvu ya kuanzia na kumaliza..
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
View attachment 3345768
Mimi sipendi Utekaji ila Gwajima siwezi kumuamini anatumiwa na watu wazee wa No reforms Endeleeni kuomaa na Reforms
Huyu hajawahi kupoteza pambanoKuna wajinga leo wanamuona huyu shujaa!
Kama kaongea ukweli mpongezeKuna wajinga leo wanamuona huyu shujaa!
Kama anawasemea wananchi wanaotekwa na kupotezwa na serikali ataonekana shujaa tu hakuna namnaKuna wajinga leo wanamuona huyu shujaa!
Kama anawasemea wananchi wanaotekwa na kupotezwa na serikali ataonekana shujaa tu hakuna namnaKuna wajinga leo wanamuona huyu shujaa!
Sasa kama huna imani na wanasiasa, ni nini kinakusukuma kuwachagua kwa kura? (In fact, katiba imeweka wazi kuwa hilo ni jambo la hiari si lazima umpigie kura mwanasiasa huyo.)Kuna mzee aliniambia nisiwahi amini wanasiasa
mwamba huyu hapo sasaNi sehemu ya mahubiri kanisani kwake Leo jumapili tarehe 25/5/2025...
Anasema:
1. Mungu kaniambia kuisimamia nchi hii ya Tanzania na nitaisimamia...
2. Kuna wengine wanasema wewe nani? Utajua tu. Hili la nilikuwa nani, utakuja kujua baadae..
3. Kuna wengine nikisema maneno haya huwa wanawaka na hasira kuwakaba na kuambizana, maliza mtu huyu. Mimi simalizwi na mtu kwa kuwa nimejazwa nguvu ya kuanzia na kumaliza..
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
View attachment 3345768
Kama anawasemea wananchi wanaotekwa na kupotezwa na serikali ataonekana shujaa tu hakuna namnaKuna wajinga leo wanamuona huyu shujaa!
Mmmmm kuanzia agano la kale manabii walitambuliwa na wananchi hawakujipigia debe kuwa ooh mimi ndio nabii wa taifa nina ujumbe kwa taifa Mungu kaniambia Gwajima,kifupi ni tapeli wa kidini tapeli mkubwa na kila asemaye Mungu kamtuma aseme kwa ajili ya taifa mwongoNi sehemu ya mahubiri kanisani kwake Leo jumapili tarehe 25/5/2025...
Anasema:
1. Mungu kaniambia kuisimamia nchi hii ya Tanzania na nitaisimamia...
2. Kuna wengine wanasema wewe nani? Utajua tu. Hili la nilikuwa nani, utakuja kujua baadae..
3. Kuna wengine nikisema maneno haya huwa wanawaka na hasira kuwakaba na kuambizana, maliza mtu huyu. Mimi simalizwi na mtu kwa kuwa nimejazwa nguvu ya kuanzia na kumaliza..
✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅✅
View attachment 3345768
Wajaribu kumkamata waone..Kwa Nguvu alioyonayo mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi Amri Jeshi mkuu Wewe Gwajima hawezi kutoka uko akaanza kuropoka wasimuweke ndani Michezo
Aliyekwambia ninachagua wanasiasa nani?Sasa kama huna imani na wanasiasa, ni nini kinakusukuma kuwachagua kwa kura? (In fact, katiba imeweka wazi kuwa hilo ni jambo la hiari si lazima umpigie kura mwanasiasa huyo.)
Kanisani kwake ukifika hupati sehemu ya kukaaMmmmm kuanzia agano la kale manabii walitambuliwa na wananchi hawakujipigia debe kuwa ooh mimi ndio nabii wa taifa nina ujumbe kwa taifa Mungu kaniambia Gwajima,kifupi ni tapeli wa kidini tapeli mkubwa na kila asemaye Mungu kamtuma aseme kwa ajili ya taifa mwongo
Mungu aliowatuma walitambuliwa automatically bila matangazo ya mimi mimi
Mfano Yohana mbatizaji alitumwa na Mungu kuhubiri watu kutubu dhambi taifa la Israel hakuita vyombo vya habari kujitangaza alihama kabisa hata mjini akaenda kuishi porini kusiko na watu kabisa wala vyombo vya habari akaishi bila sadaka wala nyumba akiishi kwa kula matunda pori na asali na nguo akivaa ngozi za wanyama aliwindq si kuwa kipindi hicho walivaa ngozi hapana hata Yesu alivaa nguo
Hakuwa na youtube,tiktok wala spika za kuhubiri wala magari ya kupeleka injili wala Tv wala kampuni ya matangazo ya kumtangaza kuwa yeye ndie katumwa kuwa nabii wa Taifa lakini matokeo Yerusalem yote na Yudea yotehadi maaskofu ,mapadri maraisi,wabunge,maaskari, nk wa walienda kuungama dhambi kwake nakubatizwa
Gwajima tapeli tena Mwandamizi
Kipawa cha Mungu hakihitaji matangazo kuwa ooh Mungu kasema mimi ndio wa taifa
.Gwajima hopeless
(Wewe) huchagui wanasiasa..!.Katiba inakutaka uchague wanasiasa kwa kuwapigia kura ni haki yako...labda kama una katiba Yako..inayokuzuia kuwapigia kura wanasiasa.Aliyekwambia ninachagua wanasiasa nani?