LGE2024 Askofu Juda Ruwa'ichi atoa tamko kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa

LGE2024 Askofu Juda Ruwa'ichi atoa tamko kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kemea kemea hii isipoheshimiwa kwa serikali ya CCM kutubu na kujisahihisha kujiondoa katika hali ya ukiburi, kuna mambo mazito yanaweza kushamiri.

Kemea kemea ni tamko la kinabii, lifanyiwe kazi wenye mamlaka wawe wasikivu ama sivyo raia watawaadhibu
 
Hawez chochea fujo na kanisa sio lake. Catholic ni taasis iliyopo enzi na enzi, haliyumbishwi na siasa uchwara.

Mapadri wanakuchana ukweli, hata kama una uma
Kwa hiyo uwezo wa kufikiri kwa ubongo wako ndio umeishia hapo?
 
Kama Serikali haitaingilia kati na kuwashughulikia Hawa viongozi uchwara wa dini nchi itaingia kwenye machafuko muda sio mrefu. Huko Rwanda hawa Maaskofu wa Kikatoliki walihusika sana kwenye kuchochea na kisabisha Genocide. Serikali iwe makini!!!

Kwanza serikali haina huo Ubavu wa kuwashughulikia Maaskofu wa Kanisa Katoliki. Wanaweza tu kwa Wachungaji na Mashehe ... Katoliki ni mwisho wa rami.

Having said that matatizo yote chanzo ni serikali zisizotaka kusikiliza na kuona madaraka ni matamu. With time watu wanachoka .... na waliomo makanisani nao ni raia kama raia wengine. Wana uhuru wa kuamua upande kani wanachagua kuusupport. Kwa hiyo hata huko Rwanda, tatizo halikuwa kanisa bali individual ndani ya kanisa wanaamua kuwa upande gani.
 
wakawachane waamini wao makanisani mwao, waache kubabaika na kumbwelambwela na maamuzi ya wanainchi 🐒
Wanawachana kila jpili, na waamini wengine wako vyama vya siasa.
Wakati nipo seminary hawa huwa wamenyooka na uhawana kona, utachanwa live bila chenga all day.
So ni kawaida , na ni kawaida kwa wakatoliki wote wanaonda kanisani
 
anachochea fujo, mpasuko na migawanyiko kwenye kanisa lake tu..

Infact,
kama taifa yafaa kumpuuza tu kwa dharau 🐒
Siku zote, ukiona mtu 'anachowewa' kufanya fujo, na akakubali kufanya fujo hizo, ujuwe hata kabla ya kushawishiwa kufanya fujo, alikuwa na kitu kinachomsukuma kukubali 'kuchochewa' kufanya fujo..!!!

Sasa, ili kufanya 'mchochezi' asifanikiwe kumshawishi mchochewaji, serikali iondoe hicho kinamchomfanya mchochewaji kukubali kuchochewa.

ILA WE JAMAA NI CHAWA ASIYETUMIA AKILI YAKE KABISA..!!
 
Kwani Kikwete hawezi kujinunulia gari? Mbona ananunuliwa magari mapya kila mwaka?
That depends on personal taste. Shetani hutushambulia kupitia maeneo anayojua tuna udhaifu.

Siamini kuwa Ruwaichi anaweza kuwa dhaifu kiasi cha kusaliti nafsi yake kwa hongo ya gari.
 
Kama Serikali haitaingilia kati na kuwashughulikia Hawa viongozi uchwara wa dini nchi itaingia kwenye machafuko muda sio mrefu. Huko Rwanda hawa Maaskofu wa Kikatoliki walihusika sana kwenye kuchochea na kisabisha Genocide. Serikali iwe makini!!!
Tuachane na alicho kisema baba askofu; mtazamo wako binafsi kuhusu uchafuzi wewe ukoje?
 
Back
Top Bottom