LGE2024 Askofu Juda Ruwa'ichi atoa tamko kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wenz
RAIA WAWAJIBISHE AMBAO WANAKAIDI/HAWASIKII UNABII WA MUNGU TUNAOUTOA KATIKA MATAMKO YETU...by Ruwaichi
Siwaamini kesho utasikia wanapokea msaada wa ujenzi wa kanisa wanabadili msemo
 
wakawachane waamini wao makanisani mwao, waache kubabaika na kumbwelambwela na maamuzi ya wanainchi 🐒
Wewe kichaa, si bure. Ni wananchi gani waliamua kuwaua wagombea au viongozi wa CHADEMA? Hayo mmeyafanya ninyi mashetani, halafu kwa uwendawazimu mkubwa, mnasema ni maamyzi ya wananchi!!
 
Kama Serikali haitaingilia kati na kuwashughulikia Hawa viongozi uchwara wa dini nchi itaingia kwenye machafuko muda sio mrefu. Huko Rwanda hawa Maaskofu wa Kikatoliki walihusika sana kwenye kuchochea na kisabisha Genocide. Serikali iwe makini!!!
Kwa hiyo hao waliouwawa ni mbuzi au kuku hivyo serikali hawapaswi kuambiwa. Kabla mwaka huu haujaisha naomba Mungu yamkute mwanafamilia Yako ndio ujue uchungu wa kupoteza raia
 
wakawachane waamini wao makanisani mwao, waache kubabaika na kumbwelambwela na maamuzi ya wanainchi 🐒
Wewe ni kama farisayo ama sadukayo tu wa kale, hivyo haishangazi. Unachojali ni tumbo lako tu basi, haki ya wengine hapana. Endelea hivyo waache wanaojali waseme.
 
Kama Serikali haitaingilia kati na kuwashughulikia Hawa viongozi uchwara wa dini nchi itaingia kwenye machafuko muda sio mrefu. Huko Rwanda hawa Maaskofu wa Kikatoliki walihusika sana kwenye kuchochea na kisabisha Genocide. Serikali iwe makini!!!

..umechanganya madawa.

..kilichotokea Rwanda ni Kanisa kufungamana na Serikali, na Interahamwe [ umoja wa vijana wa chama tawala] wakati wa mauaji ya kimbari.

..Kanisa lingesimama upande wa haki mauaji yale yangeweza kuepukwa, au Kanisa lisingechafuka na kulaumiwa.

..Maaskofu na viongozi wote wa Dini wa Tanzania wanapaswa kupata sauti pale wanapoona kuna mmomonyoko wa haki ktk jamii.
 
Kama Serikali haitaingilia kati na kuwashughulikia Hawa viongozi uchwara wa dini nchi itaingia kwenye machafuko muda sio mrefu. Huko Rwanda hawa Maaskofu wa Kikatoliki walihusika sana kwenye kuchochea na kisabisha Genocide. Serikali iwe makini!!!
Sijui ni kwa nini lakini hisia zinanituma kuwa Samia atakuwa na mwisho mbaya sana na kila mtu atamhurumia.
 
Wakuu,

Askofu Mkuu Jimbo la Dar na Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania, Juda Thadeus Ruwa'ichi anatoa tamko sasa hivi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, Katika mkutano na Wanahabari unafanyika kwenye viunga vya 'Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma Mji mpya Relini.
Naunga mkono tamko la Baba Askofu Juda Thadeus Ruwa'ichi ila halikupaswa kuharakishwa haraka hivi!,tamko lingesubiri matokeo ya uchaguzi yatangazwe rasmi,ili tamko pia lihusishe comments kuhusu uchaguzi na kuwapongeza the majority winners as well as the minority winners.

Niliwahi kuuliza,kwanini kila rais wa Tanzania anapokuwa Mkristo ni lazima awe Mkatoliki?,sikuwahi kujibiwa,kuna baadhi wakasema inatokea tuu by a coincidence!,sasa kipindi nchi ikiwa chini ya Mkatoliki,TEC,hawawi wakali sana kama nchi ikiwa chini ya wa upande wa pili!。

Pia nipongeze tamko hili limetolewa kwenye press conference,na sio mimbarini ili kuepuka kuchanganya dini na siasa。Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
P
 
Yeye sio kiazi kama wewe, ni nabii, anaona na kujua yaliyofichika
 
Kweli njaa mbaya sn inaharibu ubongo, TEC na KKKT hawakutoa waraka 2018 mpaka wakaanza na kunyang'anywa passport? yaani wapongeze mauaji yalisababishwa na Mchengerwa na mkwe wake? haki ya nani naomba mtoto wangu awe maskini lakini asiwe na njaa ya kusaliti watanzania kama wewe, angekuwa ameuliwa ndugu yako ungeandika huu utumbo kisa unapata tenda za TCRA?
 
Back
Top Bottom