Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
my friend,Gentleman ,Tanzania siasa ni mchezo ,ila ukijua unavyochezwa, unarex, unacheka sanaaa,
hii siasa ni kujipanga tu, vinginevyo utapangwa mbaya sana 🐒
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
my friend,Gentleman ,Tanzania siasa ni mchezo ,ila ukijua unavyochezwa, unarex, unacheka sanaaa,
Sema hawakuwa na vigezo kwa kufuata ILANI YA CCM, siyo KATIBA.wagombeaji uongozi wa chadema hawakua na sifa wala vigezo vya uongozi kikatiba.
kuenguliwa ilikua ndiyo haki na stahiki yao ya msingi kabisa.
Lazima muwe wastaarabu na wangwana kukubali matokeo ndrugu zango 🐒
Are serious? Kwamba Askofu niwemugizi anaporwa hati ya kusafiria haikua utawala wa Magufuli? Na kwamba padre anapigwa risasi Zanzibar haukua utawala wa Kikwete na Nyaraka za TEC wakati wa Kwaresima haukua utawala wa Magufuli! Ujinga mtaacha lini?2020 huyo mnafiki alikuwa bado hajazaliwa? Magu alivyokuwa anaua alijitokeza kusema lolote? Hao maaskofu wote ni km Policap Pengo, hawaonagi hata aibu. Huwa nawadharau sana, wanajaribu kuleta uchochezi kwa kuokoteza vitakataka.
Bangladeshi mkubwa we, alaaa!!🐒Pumbavu kabisa
Moravian si ndio yupo Mwamakula, mnataka kumsaliti tena kamanda ?Hivi nawezaje kujiunga na Kanisa Katoliki kutoka huku Moravian?
Ni kweli, lakini hatuoni wakifanya unyama unaofanywa na ccm kwa kushirikiana na vyombo vya dola. Maaskofu wametimiza wajibu wao wa kuonya. Msitegemee ccm mtaendelea kufanya uovu ndani ya nchi hii ili mtawale kwa shuruti, kisha watu wote wakae kimya. Upuuzi mnaofanya na kuona ni kawaida kila mtu anauona.Hao mashetani ht hawamjui huyo Mungu unayemzungumzia wewe.
ni vya kikatiba gentleman,Sema hawakuwa na vigezo kwa kufuata ILANI YA CCM, siyo KATIBA.
Helpless 🐒Hopeless
ni muhimu sana kukubali matokeo na kujipanga kwajili ya wakati mwingine 🐒Kuna kesho ,maisha ya leo yasitutoe ufaham
Tupo hapa tutaona.......wanaenda kufeli kama walivyofeli kule DRC kwa Tshisekedi ,,DRC ina wakatoliki wengi kuliko Tanzania ila hao vibaraka wa papa walitulizwaKama kuna taasisi ilikemea uovu wa magu ni hiyo RC. Usidhani hatukuona matamko yao wakati wa yule kiongozi muovu. Hilo tamko la maaskofu ni baadhi tu ya viashiria vya mwisho wa ccm. Kwasababu ccm wanafaidika na huu udhaifu wa katiba, ni lazima wamchukie kila anayeweka uhalifu wao hadharani. Maaakofu wameweka msimamo wao hadharani, wakati wa mahesabu mikono yao itakuwa safi.
waleta fujo kwenye uchaguzi wa amani ndio hasa yafaa walaaniwe gentleman, na si vinginevyo kwa hatua hii 🐒Mnafaa kulaaniwa enyi majamvazi ya ccm
CCM ni Majizi sana, ukienda Nida unajaziwa taarifa au unajijazia?ni vya kikatiba gentleman,
we fomu ya kugombea imefutwa futwa kama mtihani wa kubia majibu kwa jirani bana?
mwaka wa kuzaliwa umefutwa mara 7 haijulikani huyo mtu kazaliwa miaka yote hiyo au kusudi?
inasikitisha sana aise 🐒
Kiongozi wenu si alikuwa mlawitiGentleman,
unazungumzia hilo li kibaraka la mabwenyenye lililoolewa na whites huko mbele sio?
si ndiyo kiongozi wenu?🐒
Gentleman,Siku zote, ukiona mtu 'anachowewa' kufanya fujo, na akakubali kufanya fujo hizo, ujuwe hata kabla ya kushawishiwa kufanya fujo, alikuwa na kitu kinachomsukuma kukubali 'kuchochewa' kufanya fujo..!!!
Sasa, ili kufanya 'mchochezi' asifanikiwe kumshawishi mchochewaji, serikali iondoe hicho kinamchomfanya mchochewaji kukubali kuchochewa.
ILA WE JAMAA NI CHAWA ASIYETUMIA AKILI YAKE KABISA..!!
hiyo nakubali gentleman,Wanawachana kila jpili, na waamini wengine wako vyama vya siasa.
Wakati nipo seminary hawa huwa wamenyooka na uhawana kona, utachanwa live bila chenga all day.
So ni kawaida , na ni kawaida kwa wakatoliki wote wanaonda kanisani
Wakuu,
Askofu Mkuu Jimbo la Dar na Mwenyekiti wa Tume ya Haki na Amani ya Baraza la Maaskofu Tanzania, Juda Thadeus Ruwa'ichi anatoa tamko sasa hivi kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa, Katika mkutano na Wanahabari unafanyika kwenye viunga vya 'Parokia ya Bikira Maria Mama wa Huruma Mji mpya Relini.
Askofu Ruwa'ichi ametaja baadhi ya mauaji ya wanasiasa na raia yaliyotokea hivi karibuni kuwa ni pamoja na yale yaliyotokea Novemba 26, 2024 huko Tunduma mkoani Songwe na Manyoni mkoani Singida sambamba na mauaji yaliyotokea jijini Dar es Salaam Novemba 27 mwaka huu, ambayo Kanisa hilo limetaja mauaji hayo yote kuwa ni ya kukusudia
"Mwanzoni mwa mwezi huu (Novemba 2024) kule Iringa na Bukoba waliuawa pia wanasiasa wawili (2), Tanzania tunaelekea wapi kwa kujenga tabia hii?, kitendo cha mauaji ya wanasiasa kinapaswa kulaaniwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria, hakuna mwenye mamlaka ya kumuuwa mwenzake, kutekeleza ama kudai haki za kisiasa wakati wa uchaguzi wakati wa uchaguzi sio vita ni ushindani"
Aidha, Kanisa Katoliki limesema tabia ya kuchukulia mauaji ya wanasiasa na raia kama vifo vya kawaida na vinavyopaswa kuzoeleka ni tendo baya sana linaloweza kupelekea kujengeka tabia ya kupoteza na kukosa ulinzi wa haki ya uhai kama ilivyo kwenye Ibara ya 14 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
"Wapo waliokabidhiwa jukumu la kulinda Ibara hii, tunapoona mauaji haya yakiongezeka tunajiuliza maswali mengi juu ya uwajibikaji wa serikali kwa wananchi"
Kuhusu mweendo wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa liofanyika Novemba 27
"Kwa mujibu wa taarifa zilizopatikana maeneo mbalimbali ya nchi yetu inaonekana kwamba uchaguzi wa Serikali za Mitaa umegubikwa na mapungufu mengi, ambayo wengi ninyi kama wanahabari mnayajua. Shughuli zito kama hii ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa inapoenda kiholela hatuipendi nchi yetu, hatuwatendei raia haki na hatushughulikii raia wote".
"Viongozi mbalimbali wa dini walitoa matamko kuhusu mwenendo wa maandalizi kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, matamko yale yalikuwa ni tahadhali tufanye hilo zoezi kwa hali inayokidhi. Ni zoezi (niliite takatifu) katika nchi yoyote, Uchaguzi halali na haki ni zoezi takatifu la kiraia, kwahiyo ni lazima lifanywe kwa uzito, uangalifu na uadilifu unaotakiwa"
"Nchi yetu ni ya Siasa ya vyama vingi, hata kama tunaweza kuelekea kuwa na ulemavu wakujihisi kwamba ni nchi ya chama kimoja lakini Tanzania ni nchi ya Vyama vingini na raia Mtanzania kuwa mshiriki wa chama chochote hiyo ni haki yake kiraia hakuna raia yoyote ambaye amezaliwa nakufungamanishwa na CCM, CHADEMA au CUF na vingine, hivyo vyama vyote ni machaguo au maamuzi ya raia mwenyewe na raia anapoamua kwamba anataka kujihusisha anapaswa kuheshimiwa. Watanzania tuendelee kujenga utayari wakuithamini nchi yetu, kuipigania nchi yetu na kupendana, kushikamana na kutendeana haki"
Tumetamka mara kadhaa kwamba inabidi tujipange, tujipange kutazama nyanja mbalimbali zinazohitaji maboresho au marekebisho katika mwenendo wa siasa za nchi yetu, hilo sio haki ya Wanasiasa ni haki ya raia wote kuwa na mpangilio na mwelekeo wa kisiasa ambao unatendea haki na unalinda usitawi na unapania maendeleo ya nchi yetu. Mtu yeyote mwenye nia njema na nchi yetu hawezi acha kulipigia kelele hili na yeyote anayeona tamko kama hili linawameng'enya ni vizuri wakajitadhimini.
kibaraka kasaidiwa hadi kaolewa dah!Kiongozi wenu si alikuwa mlawiti
Kwahiyo mkielezwa ukweli mnageukia kuwashughulikia watu! Halafu unalinganisha yanayoendelea Tanzania na Rwanda genocide vitu viwili tofauti! Kwamba yaliyotokea kwenye mchakato wa uchaguzi Ndio yanayofaa kuigwa na jamii ikiyostaarabika kabisa. Kwamba mnauwa watu halafu viongozi wa dini wawe kazi Yao ni kuzika na kutokemea mauaji. Mpumbavu wewe.
acha upotoshaji gentleman,CCM ni Majizi sana, ukienda Nida unajaziwa taarifa au unajijazia?
Kwanini hao wasimamizi wasingewajazia kama hilo ni tatizo?
Mbona kupiga kura ccm walikuwa wakiwajazia wapiga kura karatasi za kupigia kura? Tena siyo moja 10 hadi 20 mpiga kura mmoja.
Kweli nchi inawenyewe.