Haha chama cha mashetaniacha upotoshaji gentleman,
waTanzania wote wana Imani na CCM pekee nchi hii.
Huo ushirikiana hauwezi kufanywa na CCM gentleman.
kusaidiwa kupiga kura kwa wazee, walemavu na wenye uoni hafifu inaruhusiwa kikatiba, na kwahivyo sio kosa kisheria.
Masuala ya NIDA ni tofauti na uchaguzi gentleman, usichanganye tafadhali 🐒