LGE2024 Askofu Juda Ruwa'ichi atoa tamko kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kama Serikali haitaingilia kati na kuwashughulikia Hawa viongozi uchwara wa dini nchi itaingia kwenye machafuko muda sio mrefu. Huko Rwanda hawa Maaskofu wa Kikatoliki walihusika sana kwenye kuchochea na kisabisha Genocide. Serikali iwe makini!!!
Waliojitokeza kwenda kupiga kura kwenye huo ujinga mnaouita uchaguzi wana akili pia za kijinga tu kama hizo za kwako na kwa kweli kwa mantiki hiyo Tanzania bado kabisa hatutatoboa.
 
Huyu Askofu hastahili heshima yoyote kwa yale aliyofanya Mwanza akiwa Askofu wa Jimbo hasa Bugando mpaka akasababisha Sister wa watu akajiua. Mimi simkubali kabisa ndio maana ha UCardinary akaukosa!! 🀣🀣
Alifanyeje mkuu?
 
Waliojitokeza kwenda kupiga kura kwenye huo ujinga mnaouita uchaguzi wana akili pia za kijinga tu kama hizo za kwako na kwa kweli kwa mantiki hiyo Tanzania bado kabisa hatutatoboa.
Haya wewe ni mjanja ambaye hukwenda kupiga kura.
 
Sidhani kama una uwelewa wa kutosha kuhusu hili. Na sijui kama unamfahamu uzuri Askofu Makarios.
 
Tuachane na alicho kisema baba askofu; mtazamo wako binafsi kuhusu uchafuzi wewe ukoje?
Mwaka 2019 na 2020 baadhi ya vyama vilisusia uchaguzi. Kwanini mwaka huu wamekomaa kushiriki? Nijibu hili ili nijibu swali lako la msingi.
 
CCM ni washenzi sn wamesababisha maafa makubwa sn
Afadhali uishi bila chama kuliko kuwa mwanachama wa cha mashetani, CCM. Ni aheri usipige kura kuliko ukakipigia cha cha mashetani,CCM. Ya nini mtu kujiunganisha na shetani linalofahamika!! Hiyo si itakuwa kufuru!!
 
Mwalimu Nyerere aliwahi kuwaambia viongozi wa dini ya kwamba nchi hii haina dini, bali wananchi wake ndio wana dini. Literally meaning alikuwa anawaambia kuwa wasifikiri kuwa wao ni sehemu ya utawala wa nchi hii. Dini yeyote sio LAZIMA iwepo Tanzania, Tanzania inaweza kuwepo bila dini yoyote.
 
Tena Hawa wajinga wajinga wana bahati Mimi sio wa nchi hii!
 
Imefikia mwisho wakati tathmini iliyopo mezani hapa inaonesha CCM imeshinda kwa kishindo kweri kweri!!!?
 
Reactions: UCD
Wewe Mhaini una maana wananchi wapi wakati watz wameshamaliza kupiga kura na wamekipa ushindi CCM! Wewe si ulisema hupigi kura??
 
Samahani, hivi ulimaliza hata darasa la tano?
Unge kuwa ni mtu mwenye heshima kidogo ninge chukuwa muda wa kujadili na wewe lolote, na pengine kukufundisha mengi kwa vile najuwa ufinyu wa upeo na uwezo wako kielimu.
Lakini mtu anaye shangilia vifo vya wananchi wenzake, hata kama hukubaliani nao katika maswala ya kisiasa; mtu kama huyo sina muda naye kabisa.
 
Huyu Askofu hastahili heshima yoyote kwa yale aliyofanya Mwanza akiwa Askofu wa Jimbo hasa Bugando mpaka akasababisha Sister wa watu akajiua. Mimi simkubali kabisa ndio maana ha UCardinary akaukosa!! 🀣🀣
Wewe ndiye mtaalam wa haya mambo hapa, bila shaka kutokana na elimu yako uliyo ipata chuo kikuu cha Kariakoo, au siyo!
Na ndiyo sababu ya mihangaiko yote hii mnayo ipata sasa hivi. Hapo mwakani sijui itakuwaje?
 
Reactions: UCD
Na darubini hii hii inazidi kujipambanua, kwamba siyo wao tu wa upande huo; ila kuna upande wa pili pia, ambao wewe hutaki kuuona wala kuuelezea chochote!

Matumaini pekee ni kwamba maadam vyombo vyenye risasi vina amriwa na upande wako, basi huna sababu ya kuwa na wasiwasi juu ya hali ya nchi yako.
Utaendelea tu na raha zako, kama unavyo onyesha sasa hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…