Askofu Jude Ruwa'ichi: Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo

Askofu Jude Ruwa'ichi: Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo

Haya uliyoandika umeyafanyia utafiti au ni utashi wako.una uhakika wezi,watekaji,mafisadi ni wakatoliki?mbona hakuna tajiri mkatoliki au unaugonvi na ukatoliki!kuna askofu mkatoliki ni tajiri? Una uhakika ndoa zinazovurugika hapa nchini ni wakatoliki.weka takwimu basi au majina ya wakatoliki mafisadi ili tuende kwa hoja.hata uuchukie vipi ukatoliki utaendelea kushamiri tu.mimi ni mwamba na juu ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu.
kwani askofu amezungumzia kushuka kwa maadilifu nchini kwa utafiti?
si ametoa maoni yake huru kwa ujumla, kama ambavyo nimefanya hivyo pia japo nimekua spesifiki kidogo kulihusu kanaisa katoliki.

ni muhimu maadili ya watawa wa kike na wakiume yaangaliwe upya ili kanisa liendelee kua kioo cha uadilifu sio chanzo au kichocheo cha ulevi, uasherati, mafarakano au chuki miongoni mwa waamini na jamii kwa ujumla.

kanisa katoliki duniani ndio kinara wa udhalilishaji kingono, hayo ndio maadili? watawa kuua maalubino ndio maadili ya wakatoliki? Watawa kutafuna sadaka, kujiteka au kujificha kwa mahawara ndio maadili ya kikatoliki? Jamii inaweza kujifunza nini hapo kwa mfano?


Na huenda huu hapa chini ndio uadilifu wa kanisa katoloki anaouzungumzia Ruwaichi, right?:1Head:
 

Attachments

  • Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    144.3 KB · Views: 5
  • Screenshot_20261014_175516_Gallery.jpg
    Screenshot_20261014_175516_Gallery.jpg
    124.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20261014_175533_Gallery (1).jpg
    Screenshot_20261014_175533_Gallery (1).jpg
    113 KB · Views: 5
Nazungumzia upatanishi wa KIMUNGU na si kimwili na mambo ya gereza...
Kwa kuwa akili yako ni finyu ndiyo maana hata huko kwenye ya "KiMungu" unakokimbilia huyajui.
Hayo majambazi yote unayoyapotezea muda humu JF njia yao ni Jehenamu; kama kweli ipo. Hiyo miungu mnayoifuga na kuipa masharti ya "upatanishi" hata yenyewe itakataa upumbavu huo.
 
Huyu jamaa by then alikuwa mtoto au hajazaliwa. Hawa wangekuwa bado ni marais katika nchi zao, ni wapi hili jambazi lingejaribu japo kutia pua kwa dili zake zile?

(a) Kenneth Kaunda, Zambia
(b) Robert Mugabe, Zimbabwe
(c) Julius Nyerere, Tanzania
(d) Dr. Kamuzu Banda, Malawi
(e) Jomo Kenyatta, Kenya
(f) Samora Machel, Mozambique

Nb. Gen Z waachieni wakubwa zenu.
 
Mnabishana na wajinga +wapumbavu ambao hata hawajui maana ya mtawa au mlei ,,

Waislaam hata shule ya maana hakuna
Chuo Cha maana hakuna
Hospital ya maana hakuna.

Utajilinganisha na Roma ambao Wana hazina ya Kila kitu
Tupunguze uchawa,mihemko na siasa ndani ya dini .havina afya kama taifa
 
Hata hayo makanisa ya tecdema hayafuati maadili

Tazama watawa wanavyoishi ya dhiki na shida kuu, mapdri wa huku chini wanaishi maisha ya ajabu tena magumu na masongo wa mawazo hadi wengne wanaishi maisha ya kubeti...wakati huo maaskofu uchwara akiwemo ruwaich mnaponda mali za kanisa bila huruma?

Tangu lini wenye madhambi wakawa na majukumu ya kutawaza watu kuwa watakatifu? Tazama kashfa za ngono makanisani mwenu, tazama unyanyasaji ulivyojaa madhabahuni kwenu...

MMEKOSA KUWA WAPATANISHI, BADALA YAKE MMEKUWA WACHONGANISHI TENA MLIOSHIKWA NA MARUHANI.
Kiongozi anashirikiana na magenge ya Wahuni duniani kuuza ngada na biashara haramu ya silaha.
 
Hli dhehebu la rc tunalijua sana, tunaishi nao, wengne ni ndugu...na isitoshe rc haipo sayari nyingne na si special eti labda wamejificha..

Watawa na mapadri wana maisha magumu kuliko kawaida...

Na mbaya zaidi wanawatumia kuzalisha mali katika mashirika yao ya kitawa lakin returns zao ni fedheha.
Kwa maelezo yako ya mstari wa mwisho umethibitisha kauli yangu uwa hulijui vizuri kanisa Katoliki. Huyajui mashirika ya kitawa yanafanyeje kazi na shirika husika was nadhiri gani n.k.
Viapo vyao mashirika mengine ndiyo huwafany waonekane masikini, wanazalisha mali kwa ajili ya kanisa na shirika lao la kitawa.
 
Hli dhehebu la rc tunalijua sana, tunaishi nao, wengne ni ndugu...na isitoshe rc haipo sayari nyingne na si special eti labda wamejificha..

Watawa na mapadri wana maisha magumu kuliko kawaida...

Na mbaya zaidi wanawatumia kuzalisha mali katika mashirika yao ya kitawa lakin returns zao ni fedheha.
Wewe muislamu na wakatholiki wapi na wapi mbona unaleta habari za kufikirika
 
Hata hayo makanisa ya tecdema hayafuati maadili

Tazama watawa wanavyoishi ya dhiki na shida kuu, mapdri wa huku chini wanaishi maisha ya ajabu tena magumu na masongo wa mawazo hadi wengne wanaishi maisha ya kubeti...wakati huo maaskofu uchwara akiwemo ruwaich mnaponda mali za kanisa bila huruma?

Tangu lini wenye madhambi wakawa na majukumu ya kutawaza watu kuwa watakatifu? Tazama kashfa za ngono makanisani mwenu, tazama unyanyasaji ulivyojaa madhabahuni kwenu...

MMEKOSA KUWA WAPATANISHI, BADALA YAKE MMEKUWA WACHONGANISHI TENA MLIOSHIKWA NA MARUHANI.
Qmmmk
 
kwani askofu amezungumzia kushuka kwa maadilifu nchini kwa utafiti?
si ametoa maoni yake huru kwa ujumla, kama ambavyo nimefanya hivyo pia japo nimekua spesifiki kidogo kulihusu kanaisa katoliki.

ni muhimu maadili ya watawa wa kike na wakiume yaangaliwe upya ili kanisa liendelee kua kioo cha uadilifu sio chanzo au kichocheo cha ulevi, uasherati, mafarakano au chuki miongoni mwa waamini na jamii kwa ujumla.

kanisa katoliki duniani ndio kinara wa udhalilishaji kingono, hayo ndio maadili? watawa kuua maalubino ndio maadili ya wakatoliki? Watawa kutafuna sadaka, kujiteka au kujificha kwa mahawara ndio maadili ya kikatoliki? Jamii inaweza kujifunza nini hapo kwa mfano?


Na huenda huu hapa chini ndio uadilifu wa kanisa katoloki anaouzungumzia Ruwaichi, right?:1Head:
Umepewa kazi ya kudili na kanisa katholiki kitima na nani mwingine tukusaidie maana sio Kwa pumba hizo🤣🤣🤣🤣🤣
 
Umepewa kazi ya kudili na kanisa katholiki kitima na nani mwingine tukusaidie maana sio Kwa pumba hizo🤣🤣🤣🤣🤣
acha upotoshaji gentleman,
wajibu wangu ni kueleza ukweli mtupu kwenye mambo ya msingi tu.

sina haja ya kubabaika na mtu yeyote yule ndani au nje ya JF 🐒
 
Back
Top Bottom