Askofu Jude Ruwa'ichi: Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo

Askofu Jude Ruwa'ichi: Nchi yetu sasa hivi haisimami kwenye misingi ya uadilifu. Katika mengi tunaenda ovyo

Vyovyote vile, ila mchango wangu ni huo

niliuliza hivyo kwa maana Mwalimu Nyerere alikuwa mkatoliki na wanaotaka kumpa uwenyeheri ni wakatoliki pia hivyo ni kama mambo ya kifamilia au unaweza kuita familia ya wakatoliki kama ukipenda na ndiyo maana nikakuuliza kama wewe ni mkatoliki kwa maana umepinga wakatoliki kumpa mkatoliki mwenzao uwenyeheri ...
 
Kwa maelezo yako ya mstari wa mwisho umethibitisha kauli yangu uwa hulijui vizuri kanisa Katoliki. Huyajui mashirika ya kitawa yanafanyeje kazi na shirika husika was nadhiri gani n.k.
Viapo vyao mashirika mengine ndiyo huwafany waonekane masikini, wanazalisha mali kwa ajili ya kanisa na shirika lao la kitawa.
Hyo na utumwa vimetenganishwa na mstari mwembamba sana
 
Hyo na utumwa vimetenganishwa na mstari mwembamba sana
Basi ndoa ni utumwa.
Na mambo mengine mengi ya chini ya kiapo ni utumwa.
Kiapo hulazimishwi unachagua mwenyewe kuapa na kuishi katika kiapo hicho.
Kwenye kanisa tuunaita nadhiri hivyo viapo.
 
Askofu Ruwaichi yuko sahihi 100%,
maadili nchini yameshuka kidogo,
watu hawaheshimu hata viapo na nadhiri zao kwa Mungu.

leo hii unakuta watawa wakike na wa kiume wanafanya mambo yakushangaza mpaka unaona aibu wewe mlei,
Na hakuna wa kukemea hilo kwasababu hata ndani ya kanisa lenyewe wote wanashiriki uchafu na fedheha hizo za kimaadili na kukimbilia madhabauhuni kuungama. Ulevi, ngono na ufuska njenje miongoni mwa watawa kwa watawa, lakini watawa kwa waamini n.k. Haijulikani kimebadilika nini ndani ya kanisa. Hakuna tena kizuri cha kuiga ndani ya kanisa, ni uchafu mtupu ni kubugia tu masakramenti kama kiporo vile. hakuna tena heshika kwa ekaristi takatifu.

hata mivurugano ya ndoa nyingi humu nchini hususani za kikatoliki,
chimbuko la mafarakano na kusambaratika kwa familia hizo ni watawa kukosa maadili na kuingilia familia za walei mpaka ndani kabisa na kuwajibika kama baba wa ndoa kenye familia za wenyewe.

Na hata ukifuatilia kwa karibu hivi sasa kuhusu watovu wengi wa kimaadili humu nchini,
ambao ndio wanahusika na ufisadi, wizi na ujambazi, uchochezi na ghasia na hata mauaji utagundua wengi ni wakristo hasa wakatoliki. Na hapa, utagundua chimbuko la yote haya ni kanisa kuvurugika na kushindwa kusimamia maadili yake na waamini wake.

Na ndio maana,
kwa maoni yangu,
napendekeza kama taifa, kuketi chini, kujitathimini, kujirekebisha na kujisahihihisha na hatimae kuja na majawabu muafaka ya kunusuru mila, desturi na utamaduni wa kuishi na kufanya kazi kwa maadili wa waTanzania wote :NoGodNo:
Laana unayoenda kupata Kwa kuwasema wapakwa mafuta wa Mungu watu wenye nadhiri Kwa MUNGU hautokaa usahau !!!

1.Vifo na magonjwa sugu vitaandama familia na ukoo wako hivi karibuni .

DHAMBI ya kumkufuru ROHO MTAKATIFU huwa haina msamaha?Unajua maana ya kumkufuru ROHO MTAKATIFU ndicho kitu ulicho kufanya Leo.

Mungu hadhihakiwi subiri Matokeo .Fedha zote ulizopewa na serikali haramu ya Samia hautokaa uone dhamani yake tena
 
Yeah gentleman,
uko sahihi,
hawa wapakwa mafuata na walei hapa chini lazima laana itawaangukia tu.
mtawa una kua mwizi?
mtawa unaua albino?
mtawa uankua mshirikina?
mtawa uanalawiti vijana na watoto?
mtawa unakua mlevi?
mtawa uankua muongo?

laana haikwepeki kwa watawa kama hao gentleman waliokosa maadili na utu.
halafu,

hivi kumbe kuna mkristo mpiga ramli pia? ulijifunzia wapi gentleman mambo hayo?:pedroP:
 
Attachments

  • Screenshot_20261014_175516_Gallery.jpg
    Screenshot_20261014_175516_Gallery.jpg
    124.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20261014_175533_Gallery (1).jpg
    Screenshot_20261014_175533_Gallery (1).jpg
    113 KB · Views: 3
  • Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    Screenshot_20251223_142633_Gallery.jpg
    144.3 KB · Views: 4
Askofu Ruwaichi yuko sahihi 100%,
maadili nchini yameshuka kidogo,
watu hawaheshimu hata viapo na nadhiri zao kwa Mungu.

leo hii unakuta watawa wakike na wa kiume wanafanya mambo yakushangaza mpaka unaona aibu wewe mlei,
Na hakuna wa kukemea hilo kwasababu hata ndani ya kanisa lenyewe wote wanashiriki uchafu na fedheha hizo za kimaadili na kukimbilia madhabauhuni kuungama. Ulevi, ngono na ufuska njenje miongoni mwa watawa kwa watawa, lakini watawa kwa waamini n.k. Haijulikani kimebadilika nini ndani ya kanisa. Hakuna tena kizuri cha kuiga ndani ya kanisa, ni uchafu mtupu ni kubugia tu masakramenti kama kiporo vile. hakuna tena heshika kwa ekaristi takatifu.

hata mivurugano ya ndoa nyingi humu nchini hususani za kikatoliki,
chimbuko la mafarakano na kusambaratika kwa familia hizo ni watawa kukosa maadili na kuingilia familia za walei mpaka ndani kabisa na kuwajibika kama baba wa ndoa kenye familia za wenyewe.

Na hata ukifuatilia kwa karibu hivi sasa kuhusu watovu wengi wa kimaadili humu nchini,
ambao ndio wanahusika na ufisadi, wizi na ujambazi, uchochezi na ghasia na hata mauaji utagundua wengi ni wakristo hasa wakatoliki. Na hapa, utagundua chimbuko la yote haya ni kanisa kuvurugika na kushindwa kusimamia maadili yake na waamini wake.

Na ndio maana,
kwa maoni yangu,
napendekeza kama taifa, kuketi chini, kujitathimini, kujirekebisha na kujisahihihisha na hatimae kuja na majawabu muafaka ya kunusuru mila, desturi na utamaduni wa kuishi na kufanya kazi kwa maadili wa waTanzania wote :NoGodNo:
Sema nyie makobazi na vita na wakatoriki tu.
 
Hoja ni hii

Ufafanuzi wa hoja ni huu

Mchango wa kanisa ktk kuisaidia serikali kuongoza bila ukinzani wa wananchi ni huu

Askofu analalamika kazi wanayoifanya inakuwa bure sababu uadilifu hamna

Askofu anaonya
Ruwaichi ni mnafiki tu,,hii dunia tangu iumbwe haijawahi kuwa na maadili,asijitoe akili,hata enzi za nyerere dunia ilikua kama ilivyo leo,ndo maana kulikua hadi na kipindi cha MIKINGAMO,kiufupi dunia ipo kama ilivyo na binadamu hawajawahi kubadilika
 
kwani askofu amezungumzia kushuka kwa maadilifu nchini kwa utafiti?
si ametoa maoni yake huru kwa ujumla, kama ambavyo nimefanya hivyo pia japo nimekua spesifiki kidogo kulihusu kanaisa katoliki.

ni muhimu maadili ya watawa wa kike na wakiume yaangaliwe upya ili kanisa liendelee kua kioo cha uadilifu sio chanzo au kichocheo cha ulevi, uasherati, mafarakano au chuki miongoni mwa waamini na jamii kwa ujumla.

kanisa katoliki duniani ndio kinara wa udhalilishaji kingono, hayo ndio maadili? watawa kuua maalubino ndio maadili ya wakatoliki? Watawa kutafuna sadaka, kujiteka au kujificha kwa mahawara ndio maadili ya kikatoliki? Jamii inaweza kujifunza nini hapo kwa mfano?

Na huenda huu hapa chini ndio uadilifu wa kanisa katoloki anaouzungumzia Ruwaichi, right?:1Head:
maadili yameanza kupotea tangu siku binadamu alipoumbwa,tatizo la Ruwaichi ni lile la kutaka kufanya siasa kwenye vitu,,hawa kina Ruwaichi sio watu wazuri,waliwaambia watu eti bandari imeuzwa ili tu wananchi wajenge chuki dhidi ya utawala,
 
naunga mkono maelezo yako gentleman :NoGodNo:
 
Back
Top Bottom