kazi ya kufundisha maadili na uadilifu katika jamii,ni kazi yaviongozi wa kiroho,,serikali haina mda wa kuanza tena kufundisha maadili wananchi wake,hiyo ni kazi ya viongozi wa kiroho kama akina Bagonza,Ruwaichi,kitima,gwajima,shehe zuberi,Baba askofu mkuu Marekana na wengineo,,sasa kinachonishangaza huyu mzee Ruwaichi ni kila siku kulalama,"ooh madili yamekufa,nchi inaangamia",😂,sasa mtu unabaki unashangaa tu,wao hawa kina askofu ndo wanatakiwa kuzalisha watu wenye maadili,,serikali haina huo mda,serikali ina mahakama,ukishikwa umevunja maadili na ushahidi ukawepo unawekwa jela,full stop,