thetallest
JF-Expert Member
- Oct 21, 2017
- 8,271
- 9,113
Apambane na hali yake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weka akiba ya maneno usiongee kama umevuta bangiMungu yupi![emoji32] [emoji32] tapeli mkubwa tena kwa taarifa yako Jehova yuko busy na wanaoteseka Syria. ...hana muda wa kuhangaika na matapeli wa kidini kama hawa!
Nyoko nyie mmelipwa na hao Barrick?Huyu inatakiwa apelekewe ile bill kama ya barrick
kwani yeye hana?Kosa lake kusema kwamba viongozi wakibongo wanatembea na mairizi kiunoni hiyo ndio shida yake
kwani yeye hana?[/QUOTE yeye alishatubu
Uliwahi kuvuliana naye nguo ukaziona hizo hirizi au ulimpa?kwani yeye hana?
Kwani kutubu kuna ugumu gani jamani?Majira ya saa 11.45 jioni ya leo, mfanyakazi mmoja wa TRA amewasilisha barua katika ofisi ya mapokezi ya Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), lililoko barabara ya Sam Nujoma, Dar-Es-Salaam.
Ingawa mtu aliyekuwa mapokezi hakuwa tayari kuzungumzia barua hiyo, kwa kuwa yeye siyo Msemaji wa Kanisa, hata hivyo, uchunguzi umethibitisha kwamba barua hiyo imemtaka Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Zachary Kakobe, kufika tena kwa mahojiano TRA Mwenge, kesho Jumatano 24.1.2018, saa 4 kamili asubuhi.
Jumatatu iliyopita 15.1.18, Askofu Kakobe alihojiwa kwa mara ya kwanza katika ofisi hizo, na baada ya kuhojiwa, alitolewa kwa mlango wa nyuma kwa gari nyingine, na kuwaacha solemba waandishi wa habari, waliokuwa mbele ya ofisi hizo, kusaka habari.
Mahojiano haya mapya yanaibuka tena, baada ya taarifa za ndani kueleza kwamba, mahojiano hayo yalikuwa yamefika tamati.