Tetesi: Askofu Kakobe aitwa tena kuhojiwa TRA tarehe 24/01/2018 saa 4 asubuhi

Tetesi: Askofu Kakobe aitwa tena kuhojiwa TRA tarehe 24/01/2018 saa 4 asubuhi

Kutubu wala haichukui lisaa lakini bado tu mjomba anakomaa[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Comment yako imenifanya nicheke kwa nguvu, mpaka jirani yangu amenishangaa![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
kwani kakobe anafanya biasahara gani kanisani kwake...!??
maana sasa kama ni hivyo basi na wale wenzetu wenye nchi ndani ya nchi nao waitwe huko mwenge....(natania)
 
Hii nchi ukitaka kula vizuri na kushiba, kula kimya kimya, hata ukishiba jirani asijue....
 
Hawa TRA nawashangaa sana wanavyoshupalia kitu, hebu toeni elimu yenu ya kodi kwa wananchi, manake sasa mwananchi akiambia lipa kodi hata kama ana mtaji wa laki 2, analipa, toeni elimu watu waelewe, wananchi wapo tayari na wanalipa kodi ila hawajui, nina uhakika kodi zina mipaka sio mshona cherehani au muuza maandazi unalazimisha awe na mashine ya EFD, toeni elimu magazetini, redioni na hata kwenye luninga, kwa mtu asielewa elimu ya kodi mnamuumiza sana na ndio maana hii elimu hamtaki toa, mnajua wananchi watabackfire tu
 
Hatari kweli kwa hapa tulipo fikia na tunakoelekea kuna watu watajitoan ufahamu maana kwa sasa nchi yetu imetawaliwa na uonevu mtupu.kwani mtu kusema anamiliki hela zaidi ya serikali ni tusi mbona kuna nchi wanajua kuwa kuna watu wanmiliki pesa zaid ya serikakali lakini hawapotezi muda kuwafuatlilia hao watu. Mbona kuna Bibi mmoja mamilioni ya pesa aliyaita kwake ni hela za mboga tu na wengine wakasema ni vijisent..... Enji watu wa udongo muogopeni mungu sote tulitoka mavumbini na tutarudi huko tukipewa uongozi haimaanishi kujisahau kuwa sisi ni Miungi watu
 
Back
Top Bottom