Tetesi: Askofu Kakobe aitwa tena kuhojiwa TRA tarehe 24/01/2018 saa 4 asubuhi

#ATUBU#

Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana. Taifa limegawanyika kabisa
 
Reactions: PNC
Ngoja naisubiri hali iliyoitishwa na katoliki Congo itokee Tz.
Itapendeza zaidi.
Watanzania daini katiba mpya na tume huru vinginevyo mtapata tabu sana.
Taifa limegawanyika kabisa
 
Uskute ayo mahojiano yenyewe yakawa yanahusu kutaka kujuwa habari za herizi za a man of the people
 
Safi Sana TRA ni Mamlaka ya Mapato siyo Mamlaka ya Kodi Ndo maana wanakusanya non tax revenue Lazima Wajue huo utajiri anaojigamba nao ameupata wapi?
 
Kwani kutubu kuna ugumu gani jamani?
 
Ni Mimi Nabii Tito napita tu jamani.Kwa mahitaji ya bia na watoto wakali mjini tukutana Baa ibadani!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…