Tetesi: Askofu Kakobe aitwa tena kuhojiwa TRA tarehe 24/01/2018 saa 4 asubuhi

Mdomo umemponza, alishindwaje kusoma alama za nyakati? hizi sio nyakati za majigambo wala kebehi ni bora kunyamaza tu kwani siku hazigandi.
 
Mdomo umemponza, alishindwaje kusoma alama za nyakati? hizi sio nyakati za majigambo wala kebehi ni bora kunyamaza tu kwani siku hazigandi.
Umnyamazie mtu anayevuruga uchumi, kwa miaka 5? Halafu sisi ndiyo wenye nchi(siyo yake ya urithi hii)! Hali ikiendelea hivi, 2020 ataagwa kwenda Msoga, sorry, Chato; then, atuachie kazi ya kurudisha uchumi pale alipoukuta, KWANZA, kisha tuanze kuujenga kutokea hapo. Kazi zaidi ya mara mbili-bora tungekuwa na kipindi cha mpito bila rais, tujue moja.
 
Kasema mwenyewe ye ni tajiri awathibitishie utajiri wake ndo hicho tu wanachotaka aache kulalamika anokane anaonwewa atupe Kodi yetu very simple
 
Kula like za kutosha
 
Nasikia pengo pia ameitwa majuzi kwa ishu hizohizo za kodi.....
 
Mdomo umemponza, alishindwaje kusoma alama za nyakati? hizi sio nyakati za majigambo wala kebehi ni bora kunyamaza tu kwani siku hazigandi.
.
Ni kweli mafarao hutofautiana yupo aliyemkarimu Yusufu na yupo aliyemfukuza Musa.
 
Sasa inabidi hata watawala wetu wawe wanaona AIBU kwa kweli, ila kila ZAMA ZINA MWISHO
 
Ulalamishi watu hawajaanza leo,wakati wa mwalimu watu walilalamika kweli na kuthubutu kumuita mchonga,wakati wa mwinyi hivyohivyo,wakati wa mkapa hivyohivyo ,wakati wa jk ndio usiseme ,mara serikali dhaifu,jema kwenu liko wapi,kulalamiiiiiiiika kutwa,na baadhi ya watumishi kama kakobe ndio anaewafundisha watu ulalamishi,wakati biblia inakataza,kakobe huyuhuyu si ndio alizuia tanesko wasipitishe umeme kwake,wamgemchekea huo uchumi unaosema uurudishe ungepatikanaje?
 
We mbwa kwa hiyo watz wasilalamike? Serukali kutoa huduma sio hisani ni wajihu na haistahili hata kuponhezwa....bahat mbaya ccm hawahidumij watz hata kwa 5% ya wanavotakiwa kuhudumiwa alafu mkurupukaji mmoja anataka tusilalamike kwa vile tu anakinga mkono buku 3,000 lumumba
 
Wewe kama unakinga ufipa hizo bukubuku usiingize wengine ,ukalipe kodi ya nyumba wake zenu wanalalamika,swala ni kua utoto unakusumbua,na kulalamika muache Mungu hapendi,hata ukitukana matusi ndio unavyoonesha ulivyo kariri upuuzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…