Wake zenu huko ufipa wanalalamika kutunza familia pekeyao wamechoka,ndio mumemuona kakobe jemadari wenu wa kuropoka mmpelekee na wake zenu.We mbwa kwa hiyo watz wasilalamike? Serukali kutoa huduma sio hisani ni wajihu na haistahili hata kuponhezwa....bahat mbaya ccm hawahidumij watz hata kwa 5% ya wanavotakiwa kuhudumiwa alafu mkurupukaji mmoja anataka tusilalamike kwa vile tu anakinga mkono buku 3,000 lumumba
Nimekupa like coz ww ni mjingamjingaWewe kama unakinga ufipa hizo bukubuku usiingize wengine ,ukalipe kodi ya nyumba wake zenu wanalalamika,swala ni kua utoto unakusumbua,na kulalamika muache Mungu hapendi,hata ukitukana matusi ndio unavyoonesha ulivyo kariri upuuzi.
Mjingamjinga wewe ,mgekua na akili wake zenu wangelialia mitandaoni?mnashindwa kuwalisha wake zenu na watoto wenu ,mnakuja tukana matusi mitandaoni hamuoni aibu?kushindwa mmeshashindwa tu hata mshinde mnatukana mitandaoni mchana na usiku ,hamna jipya wala nyimbo,mmeshindwa,tena nakuruhusu tukaaaanaaa mpaka ujinyee,na askofu wenu atakaguliwa tu,na Raisi ni magufuli tu hakuna mwingine.Nimekupa like coz ww ni mjingamjinga
Kakobe ni mtu mdogo sana si tu duniani hata hapa Tanzania.Really!!! Kama ni kweli basi kuna mushkeli mkubwa sana katika hii serikali. Si amini TRA(sehemu ya serikali) hawajui kuwa duniani ukiita wachungaji wenye hela hata 100 Kakobe hatakuwemo, lakini hatujawahi hata kusikia nchi hata moja serikali yake imeingia kwenye mgogoro na wachungaji aina ya Kakobe!!!!
Please serikali kuweni makini, mna "expose" nchi kwenye jicho la kimataifa kwa sura mbaya kabisa. Duniani kote nchi ambazo zimeingia kwenye mikwaruzano migumu kabisa ni zile ambazo mikwaruzano imehusisha imani za kidini. Na mikwaruzano hii kuitatua ni migumu kweli bila kujali ukubwa wa taifa, nani kaianzisha e.t.c. Inaendelea tuuu hata kama aliyeanzisha kesha toka katika utawala.
Kwahiyo serikali iwe makini sana. Kuna mambo mengi tu yanayohitaji msuli wa serikali, lakini hili la kucheza na imani za watu no. BIG NO. Watanzania inatupasa kuwa wakali kwenye hili. Kwani serikali ikishaona imeweza kucheza na wachungaji kama Kakobe, itahamia kwenye madhehebu ya imani kubwa kama Wakristo na Waislam na hapo ndo tutakapoingia kwenye mzunguko tusioweza kutoka(viscous circle).
Watanzania wa imani tofauti tunaisha kawaida huku mtaani bila kujali sana dini/madhehebu yetu. Lakini tusichukulie hivi vitu "for granted"!!!! We are not very different from others.
Kakobe ni mtu mdogo sana si tu duniani hata hapa Tanzania.
Kwahio anatakiwa ajiongelee tu upupu tu kama anavyojitakia tu na nafsi yake?askofu lazima awe mweledi ,ajiheshimu,busara ili anaowaongoza waige mfano kwake,ivi kakobe si ndio alikataza tanesko wasipitishe umeme pale kwake,sasa unaona kakobe zimo sawasawa? Wangemchekea umeme ungepita kweli?kakobe ni mtu wa vurugu tu .
Tafadhali usome uelewe hiyo no 4.nimesema mimi?Mkuu unachoongelea ni tofauti na tahadhari niliyoitoa.
1. Kwenye BLUU. Kimsingi unakubaliana na mimi kuwa Kakobe ni mtu mdogo sana, thats right! Tatizo lipo ni je kama ni mtu wa kuonge upupu huoni serikali ina wekeza miguvu mingi sana kwa non-issues zake? Nakuhakikishia serikali ingekaa kimya ikaacha apite na huo upupu wake hiyo wala isingekuwa news kwenye media for 2 days.
2. Kwenye RED. Hayo mambo nimeyaelezea kwenye post yangu vizuri. Hayo ni mambo ya imani kati yake na wale anaowaongoza (nimeweka msisitizo kuwa mambo ya imani magumu sana). Wewe unaona kuwa anaongea upupu kama wewe, lakini je hao maelfu ya waumini wake wanaona hivyo? Kwangu mimi serikali ingeingilia pale tu anapovuka mipaka ya sheria za nchi, mfano mzuri ni uliotoa ni kuhusu issues zake na Tanesco lakini si vinginevyo.
3. Ugomvi wa sasa wa Kakobe unatokana na Serikali ya sasa kutopenda kukosolewa. Na wala si kwamba Kakobe ni wa kwanza kupata misukosuko ya aina hiyo kutoka kwa serikali hii. Wapo wengine wengi tu. Tatizo linapokuja unaponza kuzozana na Viongozi wa dini(Kumbuka issue ya Askofu wa kanisa katoliki kule Kagera kama sikosei) wanapokukosoa kwa kutumia Vyombo vya serikali kama Uhamiaji, Polisi, TRA e.t.c ina weka a very bad percedence.
4. Nimeona hapo juu una sema quote "Hakuna Nchi Duniani inayoruhusu Rais wake kunenewa vibaya. Unajua kilichomkuta Diego Maradona kwa Rais Trump?" end quote. Hiyo sio kweli hata kidogo. Hakuna rais duniani anayesemwa vibaya tena si tu na raia wa nchi yake bali hata wa nje kama wa Marekani. Leo hii kama Rais wetu angepokea hata 1/10 ya kejeli, mizaha, matusi e.t.c wanayopokea wanaokuwa marais wa Marekani, hii nchi ingekuwa ina waka moto sasa hivi, na magereza yasingetosha. Itoshe kusema tu kuwa rais/kiongozi wa mengi ya Mataifa yaliyoendelea inataka uwe na roho ngumu sana, freedom of speech kwenye nchi zao (compared to African countries and the like) tunaweza kusema ni Extended.
We mbwa nimekupa tena likeMjingamjinga wewe ,mgekua na akili wake zenu wangelialia mitandaoni?mnashindwa kuwalisha wake zenu na watoto wenu ,mnakuja tukana matusi mitandaoni hamuoni aibu?kushindwa mmeshashindwa tu hata mshinde mnatukana mitandaoni mchana na usiku ,hamna jipya wala nyimbo,mmeshindwa,tena nakuruhusu tukaaaanaaa mpaka ujinyee,na askofu wenu atakaguliwa tu,na Raisi ni magufuli tu hakuna mwingine.
Umesahau kujinyea,ji*yelee kabisa.We mbwa nimekupa tena like
Well saidKakobe ni mtu mdogo sana si tu duniani hata hapa Tanzania.
Kwahio anatakiwa ajiongelee tu upupu tu kama anavyojitakia tu na nafsi yake?askofu lazima awe mweledi ,ajiheshimu,busara ili anaowaongoza waige mfano kwake,ivi kakobe si ndio alikataza tanesko wasipitishe umeme pale kwake,sasa unaona kakobe zimo sawasawa? Wangemchekea umeme ungepita kweli?kakobe ni mtu wa vurugu tu .
HahahahaUmesahau kujinyea,ji*yelee kabisa.
I guess kachokoza nyuki!Mjingamjinga wewe ,mgekua na akili wake zenu wangelialia mitandaoni?mnashindwa kuwalisha wake zenu na watoto wenu ,mnakuja tukana matusi mitandaoni hamuoni aibu?kushindwa mmeshashindwa tu hata mshinde mnatukana mitandaoni mchana na usiku ,hamna jipya wala nyimbo,mmeshindwa,tena nakuruhusu tukaaaanaaa mpaka ujinyee,na askofu wenu atakaguliwa tu,na Raisi ni magufuli tu hakuna mwingine.
Mdomo umemponza, alishindwaje kusoma alama za nyakati? hizi sio nyakati za majigambo wala kebehi ni bora kunyamaza tu kwani siku hazigandi.