Jemima Mrembo
JF-Expert Member
- Jul 19, 2021
- 2,864
- 8,328
Nditepule alipotelea Tanga. Tanganyika ni yetu, Tanganyika ni haki yetu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilisema hili swala bandari halitamuacha mtu salama, na mtanganyika yoyote anae tumika kama Dalali , atafutika kama upepo asema BwanaWakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe:
View attachment 2662050
MAONI YANGU
Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini ninaowakubali sana hapa nchini. Hana unafiki na uchawa kama walivyo akina Geodavie, Kuhani Mussa na wengine, hasa linapokuja suala la kutetea maslahi mapana ya taifa na ustawi wa wananchi.
Marehemu Karume aliwahi kusema kuwa ikiwa koti linakubana ni vizuri ulivue na kulitupilia mbali. Kwa hali ilivyo sasa, naona koti la muungano tayari limebana. Hakuna faida zozote za muungano kwa watanganyika. Wazaznzibar ndio wananufaika zaidi na muungano huu. Wameona haitoshi wameamua kuuza bandari ya Tanganyika kwa waarabu. Wakati sasa umefika tuamue kunyoa hizi nywele chafu zilizojaa chawa kwa manufaa yetu na ya vizazi vijavyo.
Vilikuwa ni vitu vidogovidogo, siyo Lango la nchiMama ndo wakwanza kubinafsisha mali za ummah? Maraisi wote wamehusika katika ubinafsishaji.
Shetani alimwambia Julius hiki kisiwa nitakupa endapo utakimbiza moto 🔥🔥😀😀Tanzania ni mpango wa Mungu sio shetani.
KabsaaaNaanza kufikiri hii bandari ina jambo fulani hivi limejificha.
Bandari ni mali yetu, bandari ni haki yetuNaanza kufikiri hii bandari ina jambo fulani hivi limejificha.
Sikio la kufa ,eti anafungua nchiRais Samia kwa hilo ninao uhakika atalijutia sana na limewafanya Wananchi wawe na mashaka naye!
Anao mda, ajisahihishe kwa maana kukosea kupo.
Kiukweli Maili 10 za Ukanda wa Pwani ni Mali ya zanzibar ndio kusema bandari ya Tanga, Dar na Mtwara ni mali ya Zanzibar.Nditepule alipotelea Tanga. Tanganyika ni yetu, Tanganyika ni haki yetu
Bandari ni mali yetu, bandari ni haki yetu
Siku akisema mtaparanganyika vyama vyenu vya upinzani Kwa jiiiiiiiiinaaa la Yesuuuuu. Amunaa. Urudi Tena hapa kutujuuuzaaWakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe:
View attachment 2662050
MAONI YANGU
Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini ninaowakubali sana hapa nchini. Hana unafiki na uchawa kama walivyo akina Geodavie, Kuhani Mussa na wengine, hasa linapokuja suala la kutetea maslahi mapana ya taifa na ustawi wa wananchi.
Marehemu Karume aliwahi kusema kuwa ikiwa koti linakubana ni vizuri ulivue na kulitupilia mbali. Kwa hali ilivyo sasa, naona koti la muungano tayari limebana. Hakuna faida zozote za muungano kwa watanganyika. Wazaznzibar ndio wananufaika zaidi na muungano huu. Wameona haitoshi wameamua kuuza bandari ya Tanganyika kwa waarabu. Wakati sasa umefika tuamue kunyoa hizi nywele chafu zilizojaa chawa kwa manufaa yetu na ya vizazi vijavyo.
Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe:
View attachment 2662050
MAONI YANGU
Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini ninaowakubali sana hapa nchini. Hana unafiki na uchawa kama walivyo akina Geodavie, Kuhani Mussa na wengine, hasa linapokuja suala la kutetea maslahi mapana ya taifa na ustawi wa wananchi.
Marehemu Karume aliwahi kusema kuwa ikiwa koti linakubana ni vizuri ulivue na kulitupilia mbali. Kwa hali ilivyo sasa, naona koti la muungano tayari limebana. Hakuna faida zozote za muungano kwa watanganyika. Wazaznzibar ndio wananufaika zaidi na muungano huu. Wameona haitoshi wameamua kuuza bandari ya Tanganyika kwa waarabu. Wakati sasa umefika tuamue kunyoa hizi nywele chafu zilizojaa chawa kwa manufaa yetu na ya vizazi vijavyo.
Dear Sir, you are talking about UAE not Iran!!!Sakata la wazanzibar kuhusika kuuza bandari ya Dar (mali ya watanganyika) kwa waarabu wa Dubai kwa bei ya kutupa kunauweka muungano katika hatari ya kumeguka vipande vipande. Na kwa hasira hizi ambazo zimeoneshwa na watanganyika, naogopa huu muungano unakaribia ukingoni.
Tukumbuke kwamba banadari ni suala la muungano lakini hawa watu wameamua kwa makusudi kuvunja sheria na kuuza bandari ya Tanganyika huku banadari za kwao Zanzibar zikibaki salama. Hii haikubaliki hata kidogo. Wazanzibar ni watu ambao wanapenda kuuza vitu ovyo. Rais Hussein Mwinyi kauza karibu visiwa vyote vya Zanzibar kwa mabeberu. Baada ya kuona amemaliza visiwa vyote nahisi amemshauri mzanzibar mwenzake naye auze bandari ya Tanganyikakwa kwa waarabu.
Kwa kuwa waarabu wanahusishwa na suala la ugaidi, tutarajie nchi yetu kuingia kwenye mizozo ya kigaidi, hasa ukizangatia kwamba serikali ya Tanganyika haitakuwa na mamlaka ya kujua ni nini kinaingia wala kutoka bandarini. Hata kodi watazuiliwa kukusanya. Sio ajabu waarabu wakatumia mwanya huo kupenyeza magaidi na silaha za maangamizi kuja nchini na kuifanya nchi kujaa magaidi kila kona. Matokeo yake magaidi wakishajaa hapa nchini, Marekani itai-label Tanganyika kama nchi ya kigaidi na kuinyima misaada ya kiuchumi. Tutakuwa wageni wa nani jamani?
Kama wanavyojazana Europe baada ya miaka 30 ijayo wataitawalatena jambo kubwa sana lengo kubwa ni kukaribisha hao waarabu nchini halafu baada ya muda watakuwa wamejazana hapa na kwa uwingi wao waweze kuwadhoofisha waTanganyika then wabaki na Tanganyika yetu ili iwe nafuu kwa wazanzibar maana ni wamoja hivyo basi tunapaswa kuwa makini sana na kumshirikisha Mungu katika hili hawa wenzetu wana vinyongo visivyoisha na bado katika muungano wanaona wanaonewa.
Tofautisha kati ya kuuza na kubinafsisha? Mama ameuza nchi ya Tanganyika kwa waarabu wenzake. Anataka Tanganyika na Zanzibar ziwe chini ya Sultan wa Oman ili turudi kwenye utumwa mamboleo wa waarabu. Hatukubali ng'o!Mama ndo wakwanza kubinafsisha mali za ummah? Maraisi wote wamehusika katika ubinafsishaji.