Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 8,015
- 10,269
Mtu akishiba husinziaRais Samia kwa hilo ninao uhakika atalijutia sana na limewafanya Wananchi wawe na mashaka naye!
Anao mda, ajisahihishe kwa maana kukosea kupo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu akishiba husinziaRais Samia kwa hilo ninao uhakika atalijutia sana na limewafanya Wananchi wawe na mashaka naye!
Anao mda, ajisahihishe kwa maana kukosea kupo.
Maono ya viongozi wa dini lazima yaheshimiwe. Tunaitaka Tanganyika yetu haraka iwezekanavyo.Sauti ya viongozi wa Dini ni sauti ya Mungu watu na serikali!haya Marehem Camiillius alionywa na hawa hawa viongozi wa Dini nini kilitokea baada ya kushupaza shingo!!?
TEC WANAKUTANA,MAWAKILI MAHAKAMANI WANAENDA,HUKU WATUMISHI WA MUNGU NAO ROHO ALIOWASHUKIA ANANENA KWA LUGHA YA TANGANYIKA,
WALIOKARIBU NA MAMA WAMSHAURI SAWA SAWA!!!
Mungu IBARIKI Tanzania nchi yetu niipendayo sana
Nimekupata murua.Yaani!etii!kwamba:-
Wa visiwani wamemsaidia paka nduguyo kumiliki Bandari ambayo yalikua ni malengo ya Paka kumiliki KWA muda mrefu!!!
Umenielewa hapo mkuu!!?au niongeze kanyama!!?
Rasilimali zetu ni urithi wetu siyo mambo ya kuzigawagawa kama pipi
Yaani wanawatia watanganyika hasira!!?ili MUUNGANO uvunjike eeh!!? Au!!?Nafikiri lengo kuu lipo "deep" chini kabisa.
Hasira pia ni moja ya sababu.
Rejea hutba ya mzee wa ACT ameeleza khasa na utapata kiini cha haya yote.
Tusipochukua hatua hata sisi raia ipo siku tutauzwa utumwani kwa waarabu magabacholi wa kutupwa!Nguvu ya Umma isichoke kupeleka ujumbe kwa kila hali ikiwemo maandamano hadi wakoloni weusi katika chama dola kongwe waache kuwa madalali wa kuuza mapande ya ardhi ya Tanganyika kwa nchi ya kigeni.
Sakata la wazanzibar kuhusika kuuza bandari ya Dar (mali ya watanganyika) kwa waarabu wa Dubai kwa bei ya kutupa kunauweka muungano katika hatari ya kumeguka vipande vipande. Na kwa hasira hizi ambazo zimeoneshwa na watanganyika, naogopa huu muungano unakaribia ukingoni.
Tukumbuke kwamba banadari ni suala la muungano lakini hawa watu wameamua kwa makusudi kuvunja sheria na kuuza bandari ya Tanganyika huku banadari za kwao Zanzibar zikibaki salama. Hii haikubaliki hata kidogo. Wazanzibar ni watu ambao wanapenda kuuza vitu ovyo. Rais Hussein Mwinyi kauza karibu visiwa vyote vya Zanzibar kwa mabeberu. Baada ya kuona amemaliza visiwa vyote nahisi amemshauri mzanzibar mwenzake naye auze bandari ya Tanganyikakwa kwa waarabu.
Kwa kuwa waarabu wanahusishwa na suala la ugaidi, tutarajie nchi yetu kuingia kwenye mizozo ya kigaidi, hasa ukizangatia kwamba serikali ya Tanganyika haitakuwa na mamlaka ya kujua ni nini kinaingia wala kutoka bandarini. Hata kodi watazuiliwa kukusanya. Sio ajabu waarabu wakatumia mwanya huo kupenyeza magaidi na silaha za maangamizi kuja nchini na kuifanya nchi kujaa magaidi kila kona. Matokeo yake magaidi wakishajaa hapa nchini, Marekani itai-label Tanganyika kama nchi ya kigaidi na kuinyima misaada ya kiuchumi. Tutakuwa wageni wa nani jamani?
Tunaweza kusema ndugu zetu wazanzibari wameuza Bandari kwa Waarabu, vipi Spika, Wabunge, Mawaziri, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Waziri mkuu na makamu wa rais hawa wote ni watanganyika wenzetu wao wanasemaje?Sakata la wazanzibar kuhusika kuuza bandari ya Dar (mali ya watanganyika) kwa waarabu wa Dubai kwa bei ya kutupa kunauweka muungano katika hatari ya kumeguka vipande vipande. Na kwa hasira hizi ambazo zimeoneshwa na watanganyika, naogopa huu muungano unakaribia ukingoni.
Tukumbuke kwamba banadari ni suala la muungano lakini hawa watu wameamua kwa makusudi kuvunja sheria na kuuza bandari ya Tanganyika huku banadari za kwao Zanzibar zikibaki salama. Hii haikubaliki hata kidogo. Wazanzibar ni watu ambao wanapenda kuuza vitu ovyo. Rais Hussein Mwinyi kauza karibu visiwa vyote vya Zanzibar kwa mabeberu. Baada ya kuona amemaliza visiwa vyote nahisi amemshauri mzanzibar mwenzake naye auze bandari ya Tanganyikakwa kwa waarabu.
Kwa kuwa waarabu wanahusishwa na suala la ugaidi, tutarajie nchi yetu kuingia kwenye mizozo ya kigaidi, hasa ukizangatia kwamba serikali ya Tanganyika haitakuwa na mamlaka ya kujua ni nini kinaingia wala kutoka bandarini. Hata kodi watazuiliwa kukusanya. Sio ajabu waarabu wakatumia mwanya huo kupenyeza magaidi na silaha za maangamizi kuja nchini na kuifanya nchi kujaa magaidi kila kona. Matokeo yake magaidi wakishajaa hapa nchini, Marekani itai-label Tanganyika kama nchi ya kigaidi na kuinyima misaada ya kiuchumi. Tutakuwa wageni wa nani jamani?
Alichotufanyia Samia anastahili kuondoka duniani haraka.
Tunaweza kusema ndugu zetu wazanzibari wameuza Bandari kwa Waarabu, vipi Spika, Wabunge, Mawaziri, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Waziri mkuu na makamu wa rais hawa wote ni watanganyika wenzetu wao wanasemaje?
Je hawa wote si wazalendo?
Ajiandae kuhojiwa tena kuhusu uraia wake kwa mara nyingine. Ni maoni yangu tu.Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe:
View attachment 2662050
MAONI YANGU
Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini ninaowakubali sana hapa nchini. Hana unafiki na uchawa kama walivyo akina Geodavie, Kuhani Mussa na wengine, hasa linapokuja suala la kutetea maslahi mapana ya taifa na ustawi wa wananchi.
Marehemu Karume aliwahi kusema kuwa ikiwa koti linakubana ni vizuri ulivue na kulitupilia mbali. Kwa hali ilivyo sasa, naona koti la muungano tayari limebana. Hakuna faida zozote za muungano kwa watanganyika. Wazaznzibar ndio wananufaika zaidi na muungano huu. Wameona haitoshi wameamua kuuza bandari ya Tanganyika kwa waarabu. Wakati sasa umefika tuamue kunyoa hizi nywele chafu zilizojaa chawa kwa manufaa yetu na ya vizazi vijavyo.
hata sisi hatuutaki kwanza haueleweki mara kuna mambo ya muungano ambayo hayahusu muungano yanashughulikiwa zanzibar mara zanzibar ni nchi kwahiyo nchi ya Tanganyika iko wapi?Wanaoutaka ni sisi watanganyika?
They've got nothing to lose.Yaani wanawatia watanganyika hasira!!?ili MUUNGANO uvunjike eeh!!? Au!!?
Ili KATIBA mpya ikija serikali tatu iwe mtelezo KABISA sio!!?
Yaani mama no chambo cha wazenji MUUNGANO uvunjike!!?
Au nimeelewa vibaya!!?
Masahihisho tafadhali!!
Wow!!Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe:
View attachment 2662050
MAONI YANGU
Askofu Kakobe ni miongoni mwa viongozi wa dini ninaowakubali sana hapa nchini. Hana unafiki na uchawa kama walivyo akina Geodavie, Kuhani Mussa na wengine, hasa linapokuja suala la kutetea maslahi mapana ya taifa na ustawi wa wananchi.
Marehemu Karume aliwahi kusema kuwa ikiwa koti linakubana ni vizuri ulivue na kulitupilia mbali. Kwa hali ilivyo sasa, naona koti la muungano tayari limebana. Hakuna faida zozote za muungano kwa watanganyika. Wazaznzibar ndio wananufaika zaidi na muungano huu. Wameona haitoshi wameamua kuuza bandari ya Tanganyika kwa waarabu. Wakati sasa umefika tuamue kunyoa hizi nywele chafu zilizojaa chawa kwa manufaa yetu na ya vizazi vijavyo.
Tunaweza kusema ndugu zetu wazanzibari wameuza Bandari kwa Waarabu, vipi Spika, Wabunge, Mawaziri, Mwanasheria Mkuu wa serikali, Waziri mkuu na makamu wa rais hawa wote ni watanganyika wenzetu wao wanasemaje?
Je hawa wote si wazalendo?
Yaani wanawatia watanganyika hasira!!?ili MUUNGANO uvunjike eeh!!? Au!!?
Ili KATIBA mpya ikija serikali tatu iwe mtelezo KABISA sio!!?
Yaani mama no chambo cha wazenji MUUNGANO uvunjike!!?
Au nimeelewa vibaya!!?
Masahihisho tafadhali!!
Wewe unadhani kashfa ya wazanzibar kuuza bandari ya Tanganyika ni suala dogo? Hivi huko msikitini Zanzibar mnafundishana ujinga gani? Acha kutetea wizi mkuu.
we ni miongoni mwa yale mazuzu yanayokubali kila yanayoambiwa na yale manabii ya uwongo km kina Kakobe.Wakati akihubiri kwenye kanisa lake la FGBF, Mwenge jijini Dar es Salaam, Askofu Zakary Kakobe amesikika akisema kuwa Tanzania ni mpango wa shetani ndio maana kila mara hoja ya kuitaka Tanganyika inaibuka. Hebu msikilize wewe mwenyewe: