Askofu Kakobe: Tanzania ni mpango wa shetani; Tanganyika inakuja!

Nilisema hili swala bandari halitamuacha mtu salama, na mtanganyika yoyote anae tumika kama Dalali , atafutika kama upepo asema Bwana
 
Kuuvunja Muungano ni kiu ya wazanzibar ya miaka mingi, Huenda watashukuru sana kwa tukio hilo.
Lakini Watanganyika kukataa Bandari kuendeshwa na Kampuni ya nje ni kujinyima fursa adhimu ya kuipaisha Tanganyika kiuchumi .
Kakobe anaendeshwa na hisia zake binafsi kwa kumchukia Raisi Mzanzibari , si vyengine. Ile Hijabu ya mama pale ikulu inawaumiza nyoyo watu hawa wa makanisa.
Kama raisi akiwa Mkatoliki (mkiristo na akfanya maamuzi kama hayo kwa Watanganyika hawa hawa watamsifu na kumpongeza).
Kwani Bandari hii hii ilikuwa chini ya kampuni ya TICS kwa miaka 20 iliyopita ilisainiwa na Mkapa. Ufanisi wake ulikuwa kwa kiasi lakni bado uko chini ya viwango tarajiwa ndio maana Mkataba ulipokwisha wakaona walete kampuni nyingine iliyo bora zaidi ili kuongeza ufanisi na kuendana na wakati.

To Hel,
wacha Muungano uvunjike,
kwani Mama yuko pale kutimiza wajibu wake kama Raisi wa nchi
Washuri wake 90% ni watanganyika. Mimi sijaona kasoro yoyote,.
Kwa mara ya kwanza Bunge limeshirikishwa kuridhia mkataba huu ili kutanua wigo wa ushirikishwaji.
Bado watu wanendelea kuchochea kuvunjwa kwa Muungano ili Samia Arudi Zenji.
Mbona hili liko wazi, Watanganyika wakifanya Mistake hii watatukamatia chumbe kwa Maendeleo .
Zanzibar imekwama kimaendeleo kwa miaka 60 sasa kwa sababu ya Dubwana hili Muungano ulio chini ya Tanganyika.

Any way
Tanganyika kwa sasa ni yetu sote, wacha wazanzibar wafaidi tunda la Muungano na
Zanzibar ni ya Wazanzibari pekeyao.Wanaofaidi ni wazanzibar pekeyao.
 
Uzuri utawala wa Magufuli umefichus unafiki na uoga wetu Watanzani.....hakuna jipya hapo, ni muendelezo wa unafiki.
 
Siku akisema mtaparanganyika vyama vyenu vya upinzani Kwa jiiiiiiiiinaaa la Yesuuuuu. Amunaa. Urudi Tena hapa kutujuuuzaa
 

Hii ni current kweli?
 
Dear Sir, you are talking about UAE not Iran!!!
 
Kama wanavyojazana Europe baada ya miaka 30 ijayo wataitawala
 
Mama ndo wakwanza kubinafsisha mali za ummah? Maraisi wote wamehusika katika ubinafsishaji.
Tofautisha kati ya kuuza na kubinafsisha? Mama ameuza nchi ya Tanganyika kwa waarabu wenzake. Anataka Tanganyika na Zanzibar ziwe chini ya Sultan wa Oman ili turudi kwenye utumwa mamboleo wa waarabu. Hatukubali ng'o!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…