Askofu Kilaini: Nyerere alikuwa Mtu Mwema. Mwana wa Kanisa, Baba wa Taifa na mwanadamu mwenye harufu ya Utakatifu

Askofu wangu amezidisha kipimo cha kusifia, Nyerere hakuwa na hatakuwa mtakatifu, kuna tofauti ya utakatifu na uzalendo.
 
Askofu Kilaini aliyechukua pesa kwenye vimfuko vya sandalusi kwenye benki ya kanisa lao, pesa ya singasinga na Ruge!
 
Aisee. Kumbe muislam anaweza ingia kanisani na kuabudu vizuri tu
Ni rahisi sana muislam kuingia kanisani kushiriki ibada lakini mkristo inakuwa ngumu kuingia msikitini kuswali sio kwamba inakatazwa ila sababu vigezo vya kuingia msikitini ni vigumu kuvitekeleza kwa mkristo.Mfano mtu awe na udhu na pia zile njia za kupiga rakaa mkristo atachanganyikiwa ndo maana wanaogopa ila tuko pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…