Askofu Malasusa anavuruga KKKT; namwona kama anaingiza dola kwenye kanisa badala ya kuingiza dini

Dini ni extended arm of Government, inashikiliwa na executive
 
..
 
Attachments

  • Kipanya~2.jpg
    44 KB · Views: 3
Huyo so-called askofu ni mtumishi wa serikali ya CCM wa mda mrefu
 
Sasa kama Dola ndio iliingilia uchaguzi wa Kkkt na kumuweesha yeye kuwa kiongozi mnatarajia nini!
Poleni sana Lutheran kwa kuruhusu hili!
 
Huyo kawekwa na serikali hapo kama wanavyowapangia bakwata nani awe sheikh mkuu ili aweze kuwatumikia wao na si muda kkkt ataisambaratisha
 
Nilimdharau sana Bagonza baada ya yeye kumuunga mkono aliyekuwa Askofu Mwaikali Dayosisi ya Konde, Askofu aliyekuja kujulikana kuwa ana vimada na anajihusisha na ushirikina.
 
Tupe ushahidi wa ushirikina au kuwa na vimada
 
Nilimdharau sana Bagonza baada ya yeye kumuunga mkono aliyekuwa Askofu Mwaikali Dayosisi ya Konde, Askofu aliyekuja kujulikana kuwa ana vimada na anajihusisha na ushirikina.
Kuna vitu unachanganya hapa. Kumbuka aliunga mkono hoja zake na sio vimada na ushirikina wake
 
Nilimdharau sana Bagonza baada ya yeye kumuunga mkono aliyekuwa Askofu Mwaikali Dayosisi ya Konde, Askofu aliyekuja kujulikana kuwa ana vimada na anajihusisha na ushirikina.
Dayosisi ya konde,,, Dayosisi ya ngumi bila shaka Tukuyu moja hiyo....
 
Dini pamoja na dola vyote haivitakiwi, kinachotakiwa ni Imani, wewe na Malasusa wote achaneni na Imani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…