Askofu Malasusa ulianza lini kusononeshwa na watu Kuwindwa kwa Risasi?

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hili ni swali tu kwako Baba Askofu, kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka, basi bila shaka ama hukuwepo Duniani, au ulifungiwa ndani ya mazabahu.

Na kama ulikuwepo basi utakuwa mnafiki uliyepitiliza na kwamba sononeko lako linatokana na kushambuliwa kwa Mwanaccm mwenzako na wala halitokani na hicho ulichokisema.

Wakati TAL anashambuliwa na kutandikwa risasi naona baba Askofu alikuwa mawinguni
Maana TAL akuwindwa tu Bali kitendo kilitendeka sikuona mahali akilaani tukio hilo
 
Hahahaa ngoja nisicomment kitu hapa.
 
KKKT kwa huyu askofu na mkuu wa kanisa lenu mmepiga nje. Huyu sio mkristo hata kidogo na hana harufu ya uchamungu bali ni chawa mkubwa wa watawala
 
Angesema tu anasikitishwa na Sendeka kuwindwa na risasi na sio watanzania.
 
Mkuu mbona hukugombea uaskofu?
 
KKKT kwa huyu askofu na mkuu wa kanisa lenu mmepiga nje. Huyu sio mkristo hata kidogo na hana harufu ya uchamungu bali ni chawa mkubwa wa watawala
Wajinga sana ninyi.
Mama Samia alimtembelea Lissu Nairobi kitandani hospitali.
Mbona kumbukumbu senu kama vibulushuti vya chekechea?
 
Wajinga sana ninyi.
Mama Samia alimtembelea Lissu Nairobi kitandani hospitali.
Mbona kumbukumbu senu kama vibulushuti vya chekechea?
Samia hakumtembelea Lissu , bali alipitia tu hospitali baada ya Mkutano wa Nairobi kumalizika , Alli Hassan Mwinyi ndiye aliyemtembelea Lissu Hospitali kutoka moja kwa moja Dar , hakutoka kwenye semina
 
Nyie wajinga ndio waliwao, kwa hiyo kupitia kumuona ni sawa na kutopita!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…