Askofu Malasusa ulianza lini kusononeshwa na watu Kuwindwa kwa Risasi?

Askofu Malasusa ulianza lini kusononeshwa na watu Kuwindwa kwa Risasi?

I

Ingia kwenye anga zao ndio utajua ni watu wa serikali au CCM. Hapana chezea wala kusema vibaya hao ndugu zetu. Onyeka
Tukitwaa madaraka 2025 kama Mungu alivyopanga tutaondoa hali hii
 
Halafu huyu Askofu ana masikio yake na kichwa chake cha mviringo vinafanana na paka au bundi. Ama kweli duniani wawili wawili.
 
M
Hili ni swali tu kwako Baba Askofu, kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka, basi bila shaka ama hukuwepo Duniani, au ulifungiwa ndani ya mazabahu.

Na kama ulikuwepo basi utakuwa mnafiki uliyepitiliza na kwamba sononeko lako linatokana na kushambuliwa kwa Mwanaccm mwenzako na wala halitokani na hicho ulichokisema.

Wacheni Askofu afanye kazi aliyoitiwa. Kama hufurahishwi, hamia dini ya ma Houthis.

Pilipili ya KKKT sijui inakuwasha sehemu gani.
 
Back
Top Bottom