Askofu Malasusa ulianza lini kusononeshwa na watu Kuwindwa kwa Risasi?

Hili ni swali tu kwako Baba Askofu , kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka , basi bila shaka ama hukuwepo Duniani , au ulifungiwa ndani ya mazabahu .

Na kama ulikuwepo basi utakuwa mnafiki uliyepitiliza na kwamba sononeko lako linatokana na kushambuliwa kwa Mwanaccm mwenzako na wala halitokani na hicho ulichokisema .

View attachment 2950052
Huyu mzee hana tofauti na UWT akina Lucas Mwashambwa
 
Malasusa ni kada wa CCM na afisa kipenyo pia. Ni mtu mnafiq sana na ameleta mgawanyiko mkubwa kwenye KKKT.
Kipanya~2.jpg
 
Wakati TAL anashambuliwa na kutandikwa risasi naona baba Askofu alikuwa mawinguni
Maana TAL akuwindwa tu Bali kitendo kilitendeka sikuona mahali akilaani tukio hilo

Lisu alikuwa msaliti wa taifa, na msaliti hutandikwa popote duniani
 
Hili ni swali tu kwako Baba Askofu , kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka , basi bila shaka ama hukuwepo Duniani , au ulifungiwa ndani ya mazabahu .

Na kama ulikuwepo basi utakuwa mnafiki uliyepitiliza na kwamba sononeko lako linatokana na kushambuliwa kwa Mwanaccm mwenzako na wala halitokani na hicho ulichokisema .

View attachment 2950052
Huyu naye ni muhuni tu na mzinzi, kanisa Lina najisiwa
 
Hili ni swali tu kwako Baba Askofu , kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka , basi bila shaka ama hukuwepo Duniani , au ulifungiwa ndani ya mazabahu .

Na kama ulikuwepo basi utakuwa mnafiki uliyepitiliza na kwamba sononeko lako linatokana na kushambuliwa kwa Mwanaccm mwenzako na wala halitokani na hicho ulichokisema .

View attachment 2950052
Enhee.... Tanzania ina watumishi wa Mungu wanafiki sana,huyo Sendeka angekufa tu halina faida yoyote hilo zee swaini
 
Hili ni swali tu kwako Baba Askofu , kwa Nchi hii ukianza kusononeka kwa sababu ya Kunusurika kwa Ole Sendeka , basi bila shaka ama hukuwepo Duniani , au ulifungiwa ndani ya mazabahu .

Na kama ulikuwepo basi utakuwa mnafiki uliyepitiliza na kwamba sononeko lako linatokana na kushambuliwa kwa Mwanaccm mwenzako na wala halitokani na hicho ulichokisema .

View attachment 2950052
Lema alisha maliza huyu ni mchumia Tumbo...
 
Back
Top Bottom