Askofu Malasusa ulianza lini kusononeshwa na watu Kuwindwa kwa Risasi?

Samia hakumtembelea Lissu , bali alipitia tu hospitali baada ya Mkutano wa Nairobi kumalizika , Alli Hassan Mwinyi ndiye aliyemtembelea Lissu Hospitali kutoka moja kwa moja Dar , hakutoka kwenye semina
We jamaa una akili ndogo mno. Kwa hiyo kumtembelea mtu hospitalini ni hadi utokee nyumbani kwako?
 
Hivi kuna watu humsikiliza huyo?
 
Ni mnafiki
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza mwache baba askofu apige kazi
 
Na kama ulikuwepo basi utakuwa mnafiki uliyepitiliza na kwamba sononeko lako linatokana na kushambuliwa kwa Mwanaccm mwenzako na wala halitokani na hicho ulichokisema.πŸ“ŒπŸ”¨
 
Malasusa ni Askofu mnafiki kuwahi kutokea! Anaponzwa na u-CCM.
 
Wengine ni zao la makumbusho hao πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ”¨πŸ”¨πŸ”¨
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…