FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hoja za wanaopinga umezisikia?Kumbe tupinge kwasababu ya udini!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hoja za wanaopinga umezisikia?Kumbe tupinge kwasababu ya udini!!
Mkuu sikia uwepo wako wewe hapa tangu 2013 sio kipo cha wewe kuwa na akili timamuUshavimba tayari! Pigo moja tu limekutoa nundu ya ubongo! Kati yetu Nani anayewaza kimasaburi? Dogo, unanitakia ban ya maisha hapa nikikujbu kwa kadri ya umasaburi wako na hivi usivyojua matumizi ya forum hii nakusamehe.
Unalike Kisha unakosoa hoja, huna akili juha wewe! Anyway, karibu jf.
Ushavimba tayari! Pigo moja tu limekutoa nundu ya ubongo! Kati yetu Nani anayewaza kimasaburi? Dogo, unanitakia ban ya maisha hapa nikikujbu kwa kadri ya umasaburi wako na hivi usivyojua matumizi ya forum hii nakusamehe.
Unalike Kisha unakosoa hoja, huna akili juha wewe! Anyway, karibu jf.
Haya wewe si mzoga ata tukikuuza tutapata hasara wewe tunakugawq bureJamani, hatuwezi kukubali kuuzwa huku tunajiona!!!
😁Acha uhuni
Zanzibar wao tayari wameshasaini mwanzo kabla huo mkataba wa bandari za Tanganyika wamesaini na MakaburuTunataka Zanzibar wasaini kwanza na wao
ukweli ni mchungu ila kuna muda inabidi usemwe bila kumungunya maneno. Mkataba wa bandari ni mkataba wa kikoloni, kifisadi na kinyonyajiSina mengi ya kusema sikiliza hiyo video ya mwanamapinduzi ndio mjue wale wauza bandari za watu walivyoyakanyaga, maskini wee mwafaa.
View attachment 2695165
Maswali ya kipuuzi utayajibu vipi mkuu?. Vipengele 30 vyote hujauliza hata kimoja unakuja na swali la saini za nani zipo katika ukurasa wa mwisho!.mkiambiwa mkataba wa kichizi mnaona watu wabaya. Ujibu maswali yangu unaniletea propaganda za kidwanzi
Upo mkataba wa Tanzania na Uganda bomba la mafuta, umeshawahi kuuona unafananaje?.Utetezi usio na ushahidi hauna mashiko na maana. Tuwekee hiyo mikataba ya dpw na nchi ulizozitqja tuiilinganishe na huu wa Tanzania. Vinginevyo kaa kwa kutulia.
Muwe mnaweka maelezoSina mengi ya kusema sikiliza hiyo video ya mwanamapinduzi ndio mjue wale wauza bandari za watu walivyoyakanyaga, maskini wee mwafaa.
View attachment 2695165
Kama huna bando la kuangalia video wapigie wanjomba zako warabu wakutumie pesa za kuhonga inasemekana bado zipo nyingiMuwe mnaweka maelezo
Mkuu,Room ya kuvunja imo kwenye mkataba huo huo soma kifungu namba 20. Kaka usidhani wanasheria wetu ni vilaza kama tunavyowachukulia.
Kila kitu kimo kwenye mkataba huu huu tunaosema eti ni mbaya, ni lugha yenye roho mbaya ndani yake. Ni lugha inayowapendeza mafisadi wachache pale bandarini wanaofaidika na foleni za meli na upigaji wote haramu unaoendelea.
Waulize hao wenye wasiwasi na mkataba mzima.Mkuu,
Kifungu cha 20 kinatoa haki ya kuweka kesi ya kuvunja mkataba.
Ukiitumia haki hiyo, utataka kuvunja mkataba kwa point gani ili ushinde kesi ya arbitration?
Kwa hivyo wewe unafurahia kwamba mkataba una kipengele kimoja cha kuruhusu kukupa arbitration ya kwenda kuuvunja, bila kuelewa kwamba vipengele vingine vyote vimekubana kwamba hata ukitaka kuuvunja wewe ndiye utakayekuwa disadvantaged kwenye arbitration?Waulize hao wenye wasiwasi na mkataba mzima.
Kazi kweli kweliKingai kaongezewa kazi.....
Unajua umuhimu wa saini kwenye mkataba, unajua legal binding ?Maswali ya kipuuzi utayajibu vipi mkuu?. Vipengele 30 vyote hujauliza hata kimoja unakuja na swali la saini za nani zipo katika ukurasa wa mwisho!.
Kwa kuanzia arbitration hiyo sio huko nje, kuna kitu kinaitwa IGA consultative committe ambayo inakuwepo kabla hamjatoka nje ya nchi.Kwa hivyo wewe unafurahia kwamba mkataba una kipengele kimoja cha kuruhusu kukupa arbitration ya kwenda kuuvunja, bila kuelewa kwamba vipengele vingine vyote vimekubana kwamba hata ukitaka kuuvunja wewe ndiye utakayekuwa disadvantaged kwenye arbitration?
Don't you see that as thinking just one chess move ahead in a very complex chess game?
Unaridhikaje kwamba mkataba una clause ya arbitration bila ya kuangalia vifungu vingine vyote na kujua mkienda kwenye arbitration nani atakuwa na advantage?
Mkuu,Kwa kuanzia arbitration hiyo sio huko nje, kuna kitu kinaitwa IGA consultative committe ambayo inakuwepo kabla hamjatoka nje ya nchi.
Pia kumbuka kipo kifungu cha serikali kuutaifisha mkataba mzima, pale inapoona ipo haja ya kufanya hivyo.
Expropriation clause 14{2}Mkuu,
Unajua swali langu hujalijibu?
Kifungu cha serikali kuutaifisha mkataba mzima pale inapoona ipo haja ya kufanya hivyo ni kifungu cha ngapi kwenye huu mkataba nikiangalie upya? Maana mimi sijakiona hicho.