Nkaburu
JF-Expert Member
- Mar 23, 2023
- 1,638
- 1,961
Kwa kifupi ni kuwa Wananchi wanasema Hapana, hawataki Mkataba huo, hawajaridhia kama vile baadhi ya watu Serikalini na watu wengine wanaounga mkono Mkataba wameridhia na kuukubali.Sina mengi ya kusema sikiliza hiyo video ya mwanamapinduzi ndio mjue wale wauza bandari za watu walivyoyakanyaga, maskini wee mwafaa.
View attachment 2695165
Amedai, maaskofu, masheik, wanasiasa, wastaafu,wanazuoni,wanasheria, wote wamesema Hapana
Anauliza, Nyie mnao uunga mkono mmetoka wapi? Akiwa ana maanisha wanao unga mkono mkataba kwa nguvu ni Watu wa wapi manake haoni sababu gani nyengine, tena baada ya kuusoma mkataba ule,baada ya manguli wengine wanasheria kusema hapana halafu wewe ukabakia kuunga mkono? Uzalendo wako upo wapi? Au nakosea hapa.
Amewaita watu hao ni wasaliti.
Hii kali kuliko. Ya Utanganyika.