Hao maaskofu walikuwa mstari wa mbele kumkosoa kwwnye masuala mengi likiwemo la COVID-19
Hakuna kitu kama hicho. Maauala ya Uisilamu ni ya Uisilamu, Waarabu ni Waarabu tu kama walivyo Waafrika. Tatizo hapa ni Udhalimu walifanya Waarabu, udhalimu wanayafanya waarabi dhidi ya Mwafrika popote pale alipo. Ni mnyanyapaa. Ana damu nyingi sana mikononi mwake dhidi ya Mwafrika na hili haliwezi kusahahulika kamwe
Waarabu ni wabaguzi period. Sasa usibadilishe kete hapa kuwa Waafrika ndio wanambagua Mwarabu. Hapana. Na ukirudi kwenye suala hili la bandari, watu washasema Mkataba ni Mbovu period! hayo mengine ni hoja za kipumbavu tu. Hapingwi Raisi Samia haipingwi dini ya Kiisilamu. Mkataba ni Mbovu!