Askofu Maximillian Machumu: Mkataba wa Bandari tunasema HAPANA

Askofu Maximillian Machumu: Mkataba wa Bandari tunasema HAPANA

Akili za kipumbavu sana hizi mkuu byeyombo. Chuki dhidi ya uislam imejificha nyuma ya mawazo ya kumkataa mwekezaji.

Wale wenye akili zenye kufanana na taa ya baiskeli wanatekwa jumla jumla huko makanisani. Nina uhakika hayati JPM angesaini huu huu mkataba wa DP na hakuna ambaye angeweza kufungua mdomo wake.

Yeye ndiye aliyejenga reli kutoka Rwanda mpaka bandarini kwa trilioni 17 ni lazima angeshalimaliza hili suala.

Na mafisadi kina Karamaji na Tibaijuka huko walipo wanacheza ngoma za kihaya kwa nguvu nyingi, ni vita ya kiuchumi l

Huwa mnaambiwa mtaje vipengele vipi ili muelimishwe, mnakaa kimya na kueneza chuki za kipuuzi..

Vipengele vikishawekwa sawa mtakuja na sababu nyingine. Inasikitisha kuona maaskofu na wao wanashikiwa akili na wapigaji wa bandarini, so sad.
Wacha upotoshaji
Unaokota okota na kuunga unga hoja za kuitetea IGA huku mkiingiza fyoko fyoko za maneno na Udini.
 
Serikali sikivu inabidi iteme ndoano ,hakuna cha kufuja pesa kuzunguka TZ nzima kutoa elimu ya DPW ,tatizo siyo manufaa au faida za DPW ,tatizo ni mkataba mbovu wa kimangungo.

"Ma-far-ler wamesaini mikataba ya kibwege na kijinga huku wakiwa na wataalam wao" - Lusekelo
 
Huna akili, au kama ipo basi ni akili matope
Hamza Johari, Dr Possi na wasomi wengi wenye kufanya biashara za bandarini wapo tayari kwa huu uwekezaji.

Huko Mtwara hata kesho wanazitaka connections za mwekezaji wauze korosho yao, wenye kufanya biashara ambao ndio wenye kuushikilia uchumi wa Tanzania wapo tayari muda wowote kumpokea mwekezaji.

Hawa wapiga kelele za harakati, hawana hata biashara ya kuagiza viwembe huko nje, hawana hata kontena moja la kusafirisha matikiti kuyapeleka huko ughaibuni lakini wao ndio wanaopiga makelele mengi humu jamvini.
 
Serikali sikivu inabidi iteme ndoano ,hakuna cha kufuja pesa kuzunguka TZ nzima kutoa elimu ya DPW ,
Naongezea tu; Serikali makini ingefanya kutoa elimu mwanzoni baada ya kutoka Dubai expo, badala yake, wamerudi wakakaa kimya(kwa aibu) kwa waliyoyafanya Wamekerupushwa sasa ndio wanajidai wanatoa elimu, na kama ulivyosema, wanapoteza fedha za umma zaidi! Wanafanya haya kinyume nyume.

tatizo siyo manufaa au faida za DPW ,tatizo ni mkataba mbovu wa kimangungo.
Hoja zao za mauzo ya tija nazo ni hafifu
"Ma-far-ler wamesaini mikataba ya kibwege na kijinga huku wakiwa na wataalam wao" - Lusekelo
100%
 
Naongezea tu; Serikali makini ingefanya kutoa elimu mwanzoni baada ya kutoka Dubai expo, badala yake, wamerudi wakakaa kimya(kwa aibu) kwa waliyoyafanya Wamekerupushwa sasa ndio wanajidai wanatoa elimu, na kama ulivyosema, wanapoteza fedha za umma zaidi! Wanafanya haya kinyume nyume.


Hoja zao za mauzo ya tija nazo ni hafifu

100%
Walikaa kimya kwa sababu wanajua.
 
Tanzania tunaficha agenda ya udini kwenye hoja ya kupinga huu uwekezaji. Tunajifanya kama vile tuna mashaka na kinachotarajiwa kufanyika, hakuna mashaka yoyote ni ubinafsi na unafiki wenye udini ndani yake!.

Tunachosahau ni kwamba mikoa hii yote ya mashariki imejaa waislam, Mtwara, Lindi, Pwani, Dar na Tanga pote humo kuna waislam wengi sana.
Waislamu wako Iran, Palestine na Afghanistan

Huko mswideni hatii pua😂😂 dadeki
 
CCM someni hapa
 

Attachments

  • EA82A62B-4FEC-4F8A-91C2-81653AEA4428.jpeg
    EA82A62B-4FEC-4F8A-91C2-81653AEA4428.jpeg
    49.8 KB · Views: 1
Back
Top Bottom