Askofu Maximillian Machumu: Mkataba wa Bandari tunasema HAPANA

Askofu Maximillian Machumu: Mkataba wa Bandari tunasema HAPANA

Kuna wakati na wewe una vimaneno vya hovyo na uchonganishi unavyoviandika pasina kufikiri vema! Hapa hatufurahishi genge!

Ukitaka kuingia hapa, uwe timamu kichwani ndo utype bhana! Kuna wakati unahitaji kuacha muda upite kidogo baada ya kula kande la choroko johnthebaptist
Duh

Kaharufu ka Ugalatia!
 
Yaani wapingaji wa mkataba huu kwa sehemu kubwa ni wagalatia. Hata mkutano wa kesho watakaohutubia ni wagalatia.
Kwa hili mnatia mashaka ikiwa issue ni mkataba tu...
Waliouza ni akina nani?
 
Watanzania wengi, mara nyingi, hata wanapokuwa sawa, wanakuwa sawa kwa sababu zisizo sawa.

Nimesikiliza naona anatoa argument from authority tupu, that is a logical fallacy.

Ni tatizo la uwezo mdogo wa kufikiri.

By the way, siungi mkono mkataba wa bandari, ila pia siungi mkono hoja za logical fallacy ya argument from authority.
Asikilizwe yupi sasa mkuu

Maana wanaoupinga ni wanasheria manguli, wanasiasa wastaafu na viongozi wa kada za juu kabisa, viongozi wa dini hawakuachwa nyuma katika hili, vyama vikuu vya upinzani na wananchi kwa uwingi wanaukataa!

Kila neno na hoja za msingi kukataliwa kwa mkataba zimeshasemwa, unataka Asikofu asemeje mkuu
 
Kuna wakati na wewe una vimaneno vya hovyo na uchonganishi unavyoviandika pasina kufikiri vema! Hapa hatufurahishi genge!

Ukitaka kuingia hapa, uwe timamu kichwani ndo utype bhana! Kuna wakati unahitaji kuacha muda upite kidogo baada ya kula kande la choroko johnthebaptist
Mnafurahishana tu hapa na kupotezeana muda.
Ni mwendo wa kushabikia tu.
Mara leo ataongea huyu kesho yule ili mradi muda uende tu but in reality hakuna mnaloweza kubadili
 
Mnafurahishana tu hapa na kupotezeana muda.
Ni mwendo wa kushabikia tu.
Mara leo ataongea huyu kesho yule ili mradi muda uende tu but in reality hakuna mnaloweza kubadili
Wewe ni mdududu gani tena?
 
Asikilizwe yupi sasa mkuu

Maana wanaoupinga ni wanasheria manguli, wanasiasa wastaafu na viongozi wa kada za juu kabisa, viongozi wa dini hawakuachwa nyuma katika hili, vyama vikuu vya upinzani na wananchi kwa uwingi wanaukataa!

Kila neno na hoja za msingi kukataliwa kwa mkataba zimeshasemwa, unataka Asikofu asemeje mkuu

Wahuni Pia wanayao ya kusema . Wakawaeleze familia zao
 
Attachments

  • IMG_1445.MP4
    9.8 MB
Sina mengi ya kusema sikiliza hiyo video ya mwanamapinduzi ndio mjue wale wauza bandari za watu walivyoyakanyaga, maskini wee mwafaa.

View attachment 2695165
Mimi ni mkristo kama huyo Askofu lakini sina mawazo wala akili za kibaguzi na zakipumbavu kama za kwenye hiyo video.

Mtu wa kawaida ni rahisi sana kumteka akili kwa kuwa na mawazo ya jumla jumla kama ya huyo askofu lakini mtu mwenye akili za kisasa zenye kuchambua mambo kwa kina hana muda kabisa na sera za kibaguzi.

JPM angekuwa hai mpaka muda huu hili suala la DPW lingeshamalizika kitambo, wala hakuna askofu angeweza kuanzisha maneno kama huyu. Tatizo Samia ni mzenji inakuwa rahisi kumchukia kwa jinsia yake na kwa dini yake.

Hayati Magufuli angepitisha mkataba muda mrefu sana uliopita na hakuna ambaye angekuja na sera za uarabu wa mwekezaji.

Rwanda na Congo ambapo wameshasaini mikataba, hawajui kama huo ni mwarabu?. Hii ni vita ya kiuchumi lakini kibaya zaidi hapa TZ inatugawa kwa misingi ya udini wa kipumbavu sana.
 
Mnafurahishana tu hapa na kupotezeana muda.
Ni mwendo wa kushabikia tu.
Mara leo ataongea huyu kesho yule ili mradi muda uende tu but in reality hakuna mnaloweza kubadili
Trust me Saa100 hatafanikiwa kuuza mali Za Tanganyika.
 
Samia kosa ulilolifanya litakugharimu sana..

Umekaribishwa TANGANYIKA unashiriki kuuza nchi
Pia tambua kuwa moja ya jukumu la JWTZ ni kuilinda katiba
Sasa kama wanatokea wazanzibar wawili wanauza mali za watanganyika tena wanasonga mbele hadi kutangaza wana vipande vya aridhi kwa wazawa
Wao wanaona baridi barafu na ukizingatia raia hawana maarifa ya uraia nani tumlaumu...
 
Mimi ni mkristo kama huyo Askofu lakini sina mawazo wala akili za kibaguzi na zakipumbavu kama za kwenye hiyo video.

Mtu wa kawaida ni rahisi sana kumteka akili kwa kuwa na mawazo ya jumla jumla kama ya huyo askofu lakini mtu mwenye akili za kisasa zenye kuchambua mambo kwa kina hana muda kabisa na sera za kibaguzi.

JPM angekuwa hai mpaka muda huu hili suala la DPW lingeshamalizika kitambo, wala hakuna askofu angeweza kuanzisha maneno kama huyu. Tatizo Samia ni mzenji inakuwa rahisi kumchukia kwa jinsia yake na kwa dini yake.

Hayati Magufuli angepitisha mkataba muda mrefu sana uliopita na hakuna ambaye angekuja na sera za uarabu wa mwekezaji.

Rwanda na Congo ambapo wameshasaini mikataba, hawajui kama huo ni mwarabu?. Hii ni vita ya kiuchumi lakini kibaya zaidi hapa TZ inatugawa kwa misingi ya udini wa kipumbavu sana.
Tunakataa vipengele vya mkataba we pimbi.
Hakuna mtu anakatwa mwekezaji!!
 
Attachments

  • IMG_1445.MP4
    9.8 MB
Asikilizwe yupi sasa mkuu

Maana wanaoupinga ni wanasheria manguli, wanasiasa wastaafu na viongozi wa kada za juu kabisa, viongozi wa dini hawakuachwa nyuma katika hili, vyama vikuu vya upinzani na wananchi kwa uwingi wanaukataa!

Kila neno na hoja za msingi kukataliwa kwa mkataba zimeshasemwa, unataka Asikofu asemeje mkuu
Kwanza kabisa, Askofu ajielimishe kuhusu kitu kinaitwa argument from authority.

Argument from authority ni kusema "hata fulani kakataa, basi mkataba huu mbaya". Au "hata fulani kaukubali, basi mkataba huu ni mzuri".

Basically you are outsourcing your thinking.

DPW akiwajua kwamba hizi ndizo fikra zenu, akawakusanya hao watu wote mnaowaheshimu na kuwahonga pesa ndefu, ili wampigie kampeni ya kukubalika, anaweza kuinunua nchi nzima.

Pinga au unga mkono hoja kwa sababu ya mantiki, naikubali mantiki hii na ile ya mkataba, au siikubali mantiki hii au ile ya mkataba, si kwa sababu hata fulani kaukubali au kaukataa mkataba.
 
suala la bandariii labda upeweee chochote kitu ndo unawezaa support huu upuuzi sababu ya njaaaa...otherwise huwezi hata kufikiria kusupport.. ni moja ya mkataba wa KITAHIRAAA MNOOO KUWAHI KUTOKEA. Wawekezaji tunawataka ila sio kwa MIKATABA YA KIJINGA HIVI
 
Kwanza kabisa, Askofu ajielimishe kuhusu kitu kinaitwa argument from authority.

Argument from authority ni kusema "hata fulani kakataa, basi mkataba huu mbaya". Au "hata fulani kaukubali, basi mkataba huu ni mzuri"

Basically you are outsourcing your thinking.

DPW akiwajua kwamba hizi ndizo fikra zenu, akawakusanya hao watu wote mnaowaheshimu na kuwahonga pesa ndefu, anaweza kuinunua nchi nzima.

Pinga au unga mkono hoja kwa sababu ya mantiki, naikubali mantiki hii na ike ya mkataba, au siikubali mantiki hii au ile ya mkataba, si kwa sababu hata fulani kaukubali au kaukataa mkataba.
Tanzania na Zanzibar ( unaweza kukubali ujinga huu) kama ukisoma Chuo kikuu au umemaliza F4, diploma au certificate!!
 
Attachments

  • 60636BDA-F90D-4E07-9831-4173FE87723B.jpeg
    60636BDA-F90D-4E07-9831-4173FE87723B.jpeg
    54 KB · Views: 1
  • Kicheko
Reactions: K11
Kumbe tupinge kwasababu ya udini!!
Akili za kipumbavu sana hizi mkuu byeyombo. Chuki dhidi ya uislam imejificha nyuma ya mawazo ya kumkataa mwekezaji.

Wale wenye akili zenye kufanana na taa ya baiskeli wanatekwa jumla jumla huko makanisani. Nina uhakika hayati JPM angesaini huu huu mkataba wa DP na hakuna ambaye angeweza kufungua mdomo wake.

Yeye ndiye aliyejenga reli kutoka Rwanda mpaka bandarini kwa trilioni 17 ni lazima angeshalimaliza hili suala.

Na mafisadi kina Karamaji na Tibaijuka huko walipo wanacheza ngoma za kihaya kwa nguvu nyingi, ni vita ya kiuchumi l
Tunakataa vipengele vya mkataba we pimbi.
Hakuna mtu anakatwa mwekezaji!!
Huwa mnaambiwa mtaje vipengele vipi ili muelimishwe, mnakaa kimya na kueneza chuki za kipuuzi..

Vipengele vikishawekwa sawa mtakuja na sababu nyingine. Inasikitisha kuona maaskofu na wao wanashikiwa akili na wapigaji wa bandarini, so sad.
 
Tanzania na Zanzibar ( unaweza kukubali ujinga huu) kama ukisoma Chuo kikuu au umemaliza F4, diploma au certificate!!
Masuala ya madini si kati ya mambo 22 ya Muungano.

Wamekosea kuandika Tanzania na Zanzibar, kwa sababu Zanzibar ipo ndani ya Tanzania.

Walitakiwa kusema Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar zimetia saini MoU...
 
Back
Top Bottom