rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
MKATABA HAUNA KIKOMO????Akili za kipumbavu sana hizi mkuu byeyombo. Chuki dhidi ya uislam imejificha nyuma ya mawazo ya kumkataa mwekezaji.
Wale wenye akili zenye kufanana na taa ya baiskeli wanatekwa jumla jumla huko makanisani. Nina uhakika hayati JPM angesaini huu huu mkataba wa DP na hakuna ambaye angeweza kufungua mdomo wake.
Yeye ndiye aliyejenga reli kutoka Rwanda mpaka bandarini kwa trilioni 17 ni lazima angeshalimaliza hili suala.
Na mafisadi kina Karamaji na Tibaijuka huko walipo wanacheza ngoma za kihaya kwa nguvu nyingi, ni vita ya kiuchumi l
Huwa mnaambiwa mtaje vipengele vipi ili muelimishwe, mnakaa kimya na kueneza chuki za kipuuzi..
Vipengele vikishawekwa sawa mtakuja na sababu nyingine. Inasikitisha kuona maaskofu na wao wanashikiwa akili na wapigaji wa bandarini, so sad.