Askofu Maximillian Machumu: Mkataba wa Bandari tunasema HAPANA

Mkuu sikia uwepo wako wewe hapa tangu 2013 sio kipo cha wewe kuwa na akili timamu

Tunatofautia kuazia.kufiri mitazamo na kila kitu
 
Huyo mama aliponunua nyumba au kiwanja aliwekewa kwenye kiroba akaondoka nayo?
 
mkiambiwa mkataba wa kichizi mnaona watu wabaya. Ujibu maswali yangu unaniletea propaganda za kidwanzi
Maswali ya kipuuzi utayajibu vipi mkuu?. Vipengele 30 vyote hujauliza hata kimoja unakuja na swali la saini za nani zipo katika ukurasa wa mwisho!.
 
Utetezi usio na ushahidi hauna mashiko na maana. Tuwekee hiyo mikataba ya dpw na nchi ulizozitqja tuiilinganishe na huu wa Tanzania. Vinginevyo kaa kwa kutulia.
Upo mkataba wa Tanzania na Uganda bomba la mafuta, umeshawahi kuuona unafananaje?.

Ipo mikataba mingi tu inasainiwa na shughuli zinakwenda kama kawaida.

Tambua kuwa hatua ya sasa ni ya kusaini mikataba ya biashara, ile ya utekelezaji.
 
Mkuu,

Kifungu cha 20 kinatoa haki ya kuweka kesi ya kuvunja mkataba.

Ukiitumia haki hiyo, utataka kuvunja mkataba kwa point gani ili ushinde kesi ya arbitration?
 
Waulize hao wenye wasiwasi na mkataba mzima.
Kwa hivyo wewe unafurahia kwamba mkataba una kipengele kimoja cha kuruhusu kukupa arbitration ya kwenda kuuvunja, bila kuelewa kwamba vipengele vingine vyote vimekubana kwamba hata ukitaka kuuvunja wewe ndiye utakayekuwa disadvantaged kwenye arbitration?

Don't you see that as thinking just one chess move ahead in a very complex chess game?

Unaridhikaje kwamba mkataba una clause ya arbitration bila ya kuangalia vifungu vingine vyote na kujua mkienda kwenye arbitration nani atakuwa na advantage?
 
Kwa kuanzia arbitration hiyo sio huko nje, kuna kitu kinaitwa IGA consultative committe ambayo inakuwepo kabla hamjatoka nje ya nchi.

Pia kumbuka kipo kifungu cha serikali kuutaifisha mkataba mzima, pale inapoona ipo haja ya kufanya hivyo.
 
Unajua swali langu hujalijibu?

Kifungu cha serikali kuutaifisha mkataba mzima pale inapoona ipo haja ya kufanya hivyo ni kifungu cha ngapi kwenye huu mkataba nikiangalie upya? Maana mimi sijakiona hicho.
 
Expropriation clause 14{2}
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…