Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

View attachment 2682944
Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa​

Mhashamu Protase Rugambwa sasa Mhadhama.

Baba Mtakatifu Fransisco amemteua Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa kuwa Kadinali. Mhashamu Protase Rugambwa ni mwandamizi wa kiti cha uaskofu Jimbo kuu Katoliki la Tabora.

Hongera sana Mhashamu Rugambwa.

Taarifa toka Vatican
Sister Angela Rwekiza

-
Pia soma >
- Je, Protase Rugambwa ndiye Kardinali ajaye Tanzania?

--
KARDINALI MTEULE RUGAMBWA NI NANI?

▪︎Askofu Mkuu Rugambwa alizaliwa tarehe 31 Mei 1960 huko Bunena-Bukoba nchini Tanzania, akapata Daraja Takatifu ya Upadri kutoka mikononi mwa Mtakatifu Yohane wa Pili alipotembelea Tanzania tarehe 2 Septemba 1990 na kuwa Padri wa Jimbo Katoliki Rulenge-Ngara.

Kuanzia mwaka 2002 hadi mwaka 2008 alifanya utume wake kwenye Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu mjini Vatican. Baba Mtakatifu Benedikto XVI, tarehe 18 Januari 2008 akamteuwa kuwa Askofu wa Jimbo Katoliki Kigoma, na tarehe 26 Juni 2012 akateuliwa kuwa Katibu Mwambata wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa Watu na Rais wa Mashirika ya Kipapa ya Kimisionari na wakati huo huo kumpandisha hadhi na kuwa ni Askofu mkuu.

Tarehe 9 Novemba 2017 Baba Mtakatifu Francisko akamteua kuwa Katibu mkuu wa Baraza la Kipapa la Uinjilishaji wa watu. Baada ya kulitumikia Baraza kwa vipindi viwili na muda wake ulipogota ukomo, kadiri ya Katiba mpya ya Kitume inayojulikana kama “Predicate evangelium” yaani “Hubirini Injili” Juu ya Sekretarieti kuu “Curia Romana” na Huduma Yake Kwa Kanisa na Kwa Ulimwengu”.

Tarehe 13 Aprili 2023, Baba Mtakatifu alimteua Askofu Mkuu Protase Rugambwa kuwa Askofu mkuu wenye haki ya kurithi Jimbo kuu la Tabora, Tanzania.
Huu ukooo una nyota na Mababaa Askofu in Gen wako blsd kila la Kheri Kadinali wangu Mungu akuongozeee mpao abakese Baba Askofu
 
Nyie wanadaslam mna dharau Sana,Ila Mungu amedhid kudhihirisha kuwa pia ktk manyonge na wanayoyadharau ukuu wake utaonekana Tena na Tena,once again hongera baba askofu,askofu wangu huyu Jimbo kuu Tabora 🙏tulianza na Mungu na tutamaliza na Mungu 🙏
 
Hawana undugu wowote...

Yule Rugambwa hayati ni muhaya wa kamachumu Muleba..

Huyu Rugambwa ni muhaya wa Bunena hapo Bukoba mjini...japo ni padre wa huko karagwe

Na Novatus Rugambwa ni muhaya wa ichwandimi huko Bukoba vijijini

10 July 2023
Tabora, Tanzania

KARDINALI MTEULE PROTASE RUGAMBWA aelezea Uhusiano wake na HAYATI MWA. KARDINALI LAUREAN RUGAMBWA

Source : Tumaini_TV
 
Ahhh Sasa waliosoma si ndo hao hao🙏huwezi kuwa na kadinal mgogo banah🤣🤣
Anaweza kupewa mwingine maana Cardinal sip boss wa Askofu yoyote ila msaidizi wa papa. Na anaenda kushiriki uchaguzi wa papa. Interesting jambola Dar Es Salaam limeachwa kando.
Ahhh Sasa waliosoma si ndo hao hao🙏huwezi kuwa na kadinal mgogo banah🤣🤣
Haaaaahaaaaa.....haya buana
 
Boss mkuu wa RC Tanzania ni nani?
Tupe hierarch kidogo atleast top three nchini hapa
Kanisa Katoliki halina boss mkuu boss Mkuu ni Mungu,zaidi ya vyeo wanavyopewa Mapadre na Maaskofu kuwakilisha ukuhani wa Yesu duniani hakuna kinachowafanya kuwa wakubwa zaidi ya wengine.

Na mamlaka ya Askofu huishia ktk Jimbo alilopewa aongoze akitoka nje ya hapo hutumika protocol kumtambulisha,ni kusema mf;Askofu wa jimbo la Dar hawezi kwenda kufanya maamuzi Jimbo la Morogoro maana siko alikotumwa kufanya uchungaji,Kikanuni kuitwa Askofu,Cardinal au Pope au yeyote yule hakumfanyi Padre awe special sana hivyo ni vyeo vya kimajukumu tu maana wote wanafanya kazi ya Mungu ni sawa na mikono,miguu kichwa nk ni viungo vya binadamu vyenye sifa tofauti tofauti lakini unapotaka kuvitambulisha kwa umoja utaviita viungo vya mwili hutavitaja kwa sifa zake.

So Pope nje ya cheo chake ni Padre,Askofu nae nje ya cheo chake ni Padre and so on.
 
You are brave!
Godbless thee
 
Papa anaijua Tanzania kuliko hata Hangaya anavyoijua.
🤣🤣🤣Hangaya aanze alifu,sikuhizi Kuna home tutors,aajiri mmoja wa lugha na international relations,baada ya mwaka ,hata kabla ya uchaguzi wa 2025 atakuwa bomba🙏
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kwa hayo macho tuu anaonekana ni wakala mbobevu namba 3 wa masonic group tanzania bara
Wewe fala sana,kumbe unamhukumu mtu kwa kuangalia sura yake,sasa una utofauti gani na Wasukuma wa Shinyanga waliokuwa wanaua Vikongwe wenye macho mekundu kwa kuwatuhumu kuwa ni wachawi?.
 
Back
Top Bottom