Askofu Mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa ateuliwa kuwa Kardinali

Tusilaumu vyombo vya habari

Hata wanasiasa na Makardinali wenyewe hujidhihirisha kuwa wao ni Wakubwa sana kuliko Rais wa TEC...hasa Mzee Pengo, kazingua sana wakati wake
 
Wewe fala sana,kumbe unamhukumu mtu kwa kuangalia sura yake,sasa una utofauti gani na Wasukuma wa Shinyanga waliokuwa wanaua Vikongwe wenye macho mekundu kwa kuwatuhumu kuwa ni wachawi?.
Ni ngumu sana kunielewa bwashee
 
Mheshimiwa, Askofu mkuu Mwandamizi Protase Rugambwa, na sasa Kadinali,

Bwana Mungu akubarikie na kukulinda,

Bwana Mungu akuangazie Nuru za Uso wake na kukufadhili,

Bwana Mungu akuinue uso wake na kukupa Amani. [emoji120][emoji120][emoji120]
 
Inakuhusu nini? Ni majibu ya Mwafrika, hata alipoletewa hii Imani hakuhoji, aliacha jadi yake na kudandia jadi za kizungu. Ni lazima nihoji kuhusu hivyo vyeo, Ni kulingana na mafundisho ya Yesu?
 
Nataka kutunga wimbo wa kumpa heko Mheshimiwa Askofu Mkuu, Protase Rugambwa,

Nisaidieni mistari iendane na huu wito wake mpya wa Kadinali.

Naona safari ya Vatican hii hapa.
 
Boss mkuu wa RC Tanzania ni nani?
Tupe hierarch kidogo atleast top three nchini hapa
Hakuna boss mkuu wa RC Tanzania. Hayupo.

Kuna maaskofu yenye mandate kwenye majimbo yao bila kuingiliwa na yeyote isipokuwa anaewateua yaani POPE.

Kuna TEC wajumbe wa TEC ni maaskofu wote wa majimbo including cardinal.

Kuna RAIS wa TEC na KATIBU wake.

Kwenye mambo yakufanyia maamuzi, misimamo ya pamoja kikanisa ndio utawasikia hao TEC.

RAIS wa TEC nae ni ASKOFU somewhere Hana uwezo kuingilia maamuzi ya askofu Fulani ndani ya jimbo Fulani.

Mapadre wako chini ya maaskofu wao wa jimbo.


Cardinal anaweza kuwa na influence but wenzake wanaweza mpinga ikiwa maamuzi yake ni kinzani na hayana Tija refer Cardinal alipokuwa anaenda kinyume na wenzake wakati wa mZiLaNkeNdE.
 
Nataka kutunga wimbo wa kumpa heko Mheshimiwa Askofu Mkuu, Protase Rugambwa,

Nisaidieni mistari iendane na huu wito wake mpya wa Kadinali.

Naona safari ya Vatican hii hapa.
Ni kweli tupu. Aione espy na Nchumbiji yake. Time will tell
 
Asante sana. Nimekuelewa sana.
Ila kama ni hivyo
Kwamba kila askofu na jimbo lake is like a sovereign state,
1. Wanalipwaje mishahara na marupurupu? Esp kama makusanyo/sadaka/offerings/biz ventures they lags from place to place territorial (methinks Dar is way richer than Tabora huko for example)
 
Waumini ndio wanaohusika
 

Bora tumepata Kadinali mpya. Cardinal Rugambwa the first was a humble man. Akaja mwingine baada ya kufariki. Kadinali ikawa ni kama cheo cha kisiasa.
Amechaguliwa mwingine wakati yeye akiona.
Sifa na utukufu kwa ukuu wake Mwenyezi Mungu.
Haya mengine yanakuja na kwenda. Kama vyeo tulivyonavyo.
Tujifunze kuwa wanyenyekevu. Mpaka kesho najiuliza nini kilitokea Cardinal wa Kwanza akazikwa nje ya jimbo lake alilofia. Labda yalikuwa matashi yake. Sijui....najiuliza tu
 
Sikushangai ulikuwa bado hujazaliwa

Unajua shida ya mtu kama wewe ni kujaribu kulipaka matope kanisa katoliki kwa hila.
Unafikiri limefikisha zaidi ya miaka 2000 kwa bahati mbaya?
Kalagabaho! Unajidanganya sina namna ya kukusaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…