Askofu Mwamakula amtaja Gerald Hando shujaa wa maoni 2022

The best way kwa Gerald Hando kama mtangazaji wa kipindi angemualika mtaalamu wa uchumi na fedha kutoka kwenye vyuo bobezi kama UDSM, IFM au Mzumbe halafu yeye awe anauliza maswali then mtaalamu ndiyo a make opinion. Ila yeye kuongea mambo ya kijiweni kwenye ulevi ni kutomtendea haki mwajiri wake.

Mwamakula naye amepinda tu kama mateja yanayovuta unga. Yeye Hana kanisa wala waumini popote japo anaitwa Askofu wa Moravian Uamsho
Hawa wajinga watajibu nini wao wenyewe wanaota teuzi kila siku, Hando baba ake mdogo ni Askofu wa RC hivyo hana njaa, kwao Mbulu ni matajiri kupita kiasi hawana njaa kama ukoo wenu, fika kwa baba ake mzazi uone mali
 
Huyu nae askofu wa mchongo tu nae kuchunga kondooo hatak yupo bze na siasa fanya kwa kias
Wewe maskofo wako si wakina mwmposa kkobe na yule wa arusha
Endeleeni kukusanya sadaka

Ova
 
Gerald Hando ni form IV leaver hana elimu yeyoye kwenye sekta ya habari au kwenye uchumi. Hajui vigezo vya kukopa ni vipi katika level ya nchi. Tanzania mpaka sasa haipo kwenye nchi 20 zenye mikopo mibaya. Wataalamu huangalia mikopo kwa kutumia index inaitwa debt/equity ratio au debt/ gdp ratio. Jedwali lifuatalo linaonyesha nchi za Afrika zenye ratio mbaya:
View attachment 2465980View attachment 2465981
Weee watangazaji wako si wakina zembwela,diva,mpoki,baba levo nk
Wana elimu ya utangazaji

Ova
 
The best way kwa Gerald Hando kama mtangazaji wa kipindi angemualika mtaalamu wa uchumi na fedha kutoka kwenye vyuo bobezi kama UDSM, IFM au Mzumbe halafu yeye awe anauliza maswali then mtaalamu ndiyo a make opinion. Ila yeye kuongea mambo ya kijiweni kwenye ulevi ni kutomtendea haki mwajiri wake.

Mwamakula naye amepinda tu kama mateja yanayovuta unga. Yeye Hana kanisa wala waumini popote japo anaitwa Askofu wa Moravian Uamsho
Kwani hao wakatao itwa hawajui matTizo ya kutoa maoni
We hujuwi tz ukikosoa we ni adui

Endeleeeni kusifiaaaaaaaa shz typ

Ova
 
Kwani uongo??? Mbona jana Magu akiwa hai tuliaminishwa ni vibaya sana kukopakopa? (ilihali walikopa kwa siri?).. NI kweli hata si jambo la kutumia elimu kubwa kwamba kukopa sana kwa nchi changa kama yetu tunalazimika kuingia kwenye mikataba mikubwa ya soko huria ambalo tunajua fika kuwa huko ni kufaidiwa na sio kufaidika. Jiulize kwanini swala la makinikia na mikataba ya madini ni siri, tena siri kubwa?? Jiulize kwanini kwa nchi changa kama yetu Rais na viongozi wengine wana kinga dhidi ya kushtakiwa mahakamani wakati demokrasia kubwa kama america na uingereza hawana hiyo kinga??

It is all about using Mikopo kutengeneza puppets na kudidimiza juhudi za nchi changa kuinuka, kama tunashindwa kuona hilo na kuanza kutukuza mikopo kwa kweli tutachelewa mno...

About Hando, yeye kosa lake sio kusema vile, ni eneo alilosemea ndo haliruhusu yeye kuwa na mtazamo huo, he is going to be stonned anyway.. Habari hiyo ingeandikwa kwenye gazeti la Mwanahalisi au Youtube channel ya Dar Mpya isingekuwa habari kabisa, just another headline to be archived.
 
Gerald Hando ni form IV leaver hana elimu yeyoye kwenye sekta ya habari au kwenye uchumi. Hajui vigezo vya kukopa ni vipi katika level ya nchi. Tanzania mpaka sasa haipo kwenye nchi 20 zenye mikopo mibaya. Wataalamu huangalia mikopo kwa kutumia index inaitwa debt/equity ratio au debt/ gdp ratio. Jedwali lifuatalo linaonyesha nchi za Afrika zenye ratio mbaya:
View attachment 2465980View attachment 2465981
Hutu tu takwimu twenu ndio sikuizi tumeisha kuwa fashion kila mkibanwa mnakimbilia kulinganisha na nchi zingine mtasababisha taifa liangamie eti kwasababu taifa fulani limeangamia zaidi
 
GERALD HANDO ATAJWA NA ASKOFU KUWA SHUJAA WA UHURU WA MAONI WA 2022.

Wamiliki wa vyombo vya habari vya Tanzania na wahariri wamewekwa mfukoni na serikali, wanajikomba na wanajipendekeza kwa serikali.

Mtangazaji wa EFM na TVE, Gerald Hando ameadhibiwa na mmiliki wake kwa kauli yake ya kukosoa tabia ya serikali ya kukopa fedha. EFM inataka watangazaji wake wawe wanasifia serikali wasiwe wanakosoa. EFM haijui wajibu wa wanahabari kwa umma. Ni aibu kubwa sana kuwa na vyombo vya habari vinavyojikomba na kujipendekeza serikalini.

Ndugu Gerald Hando anatajwa na Askofu Mwamakula kuwa shujaa wa 31 Desemba 2022 kwa kutoa maoni yake bila kuogopa na kukosoa serikali bila hofu!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

View attachment 2465873
Natamani Mapadri na Maaskofu na Wachungaji waseme UKWELI kama Askofu Mwamakula Ili sadaka zetu zipokelewe Kwa HAKI.

Aaamen
 
GERALD HANDO ATAJWA NA ASKOFU KUWA SHUJAA WA UHURU WA MAONI WA 2022.

Wamiliki wa vyombo vya habari vya Tanzania na wahariri wamewekwa mfukoni na serikali, wanajikomba na wanajipendekeza kwa serikali.

Mtangazaji wa EFM na TVE, Gerald Hando ameadhibiwa na mmiliki wake kwa kauli yake ya kukosoa tabia ya serikali ya kukopa fedha. EFM inataka watangazaji wake wawe wanasifia serikali wasiwe wanakosoa. EFM haijui wajibu wa wanahabari kwa umma. Ni aibu kubwa sana kuwa na vyombo vya habari vinavyojikomba na kujipendekeza serikalini.

Ndugu Gerald Hando anatajwa na Askofu Mwamakula kuwa shujaa wa 31 Desemba 2022 kwa kutoa maoni yake bila kuogopa na kukosoa serikali bila hofu!

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula

View attachment 2465873
Strongly agree .
 
Kama ni form 4 leaver, mbona mnaangaika nae?
Na wewe wa la Saba B, sijui unataka nini JF. Nenda kasome japo MEMKWA ujue kuandika. "mnaangaika" siyo Kiswahili labda ni Kimakonde
 
Kwa hiyo form 4 leaver ndo hawatakiwi kutoa maoni kuhusu uchumi? Mmeishiwa akili Hadi za kuendea chooni!?
Kwa sasa Form IV inakuwezesha kujua kusoma na kuandika tu. Kama na wewe ni Form IV labda kwenye familia yako ndiyo wakuite msomi
 
Na wewe wa la Saba B, sijui unataka nini JF. Nenda kasome japo MEMKWA ujue kuandika. "mnaangaika" siyo Kiswahili labda ni Kimakonde
Sawa msomi kuangaika kama sio kiswahili basi utakuwa msomi wa mchongo na rudi darasani jifunze kiswahili kifasaha kenge wewe
 
We utakuwa chizi, Hando ana degree ya software engineering, we una usomi wako umesaidia nini taifa?
Umeingia Chaka. Angekuwa na degree ya software engineering asingekubali kuwa anafanya vipindi vya kubwabwaja redioni. SEMA ni fundi mitambo, yaani wake wanaoshika kamera na kuchomeka waya kwenye plug. Hiyo siyo software
 
Hawa wajinga watajibu nini wao wenyewe wanaota teuzi kila siku, Hando baba ake mdogo ni Askofu wa RC hivyo hana njaa, kwao Mbulu ni matajiri kupita kiasi hawana njaa kama ukoo wenu, fika kwa baba ake mzazi uone mali
Umeingia chaka jingine. Aliyekuwa askofu wa Jimbo la Mbulu ni Babu yake ambaye alikufa about 15 years ago. All in all utajuri wa askofu hauingii kwenye familia
 
Weee watangazaji wako si wakina zembwela,diva,mpoki,baba levo nk
Wana elimu ya utangazaji

Ova
Wote hao uliowataja hawana formal education kwenye journalism. Ujanja ujanja tu ndiyo unaotumika kwenye mdomo
 
Hutu tu takwimu twenu ndio sikuizi tumeisha kuwa fashion kila mkibanwa mnakimbilia kulinganisha na nchi zingine mtasababisha taifa liangamie eti kwasababu taifa fulani limeangamia zaidi
Numbers speak louder, statistics never lie. Ni wajinga tu ndiyo hupingana na takwimu
 
Sawa msomi kuangaika kama sio kiswahili basi utakuwa msomi wa mchongo na rudi darasani jifunze kiswahili kifasaha kenge wewe
Nakufundisha Kiswahili wewe unaleta matusi.
 
Back
Top Bottom